Wasanii Waliojitahidi kuepuka Skendo za hovyohovyo. Funguka leo !

Wasanii Waliojitahidi kuepuka Skendo za hovyohovyo. Funguka leo !

Kuna huyu anaitwa Ben Pol{sina uhakika sana na spelling}japo bongo flavor siipendi but huyu bwana'mdgo namkubali sana anavyojiheshimu.
 
Lameck Ditto huwezi msikia kwenye miskendo yeye ukimsikia ni katoa wimbo tuu kama sasa huu Moyo Sukuma damu
 
Back
Top Bottom