Elections 2010 Wasanii waliomponda Sugu kwenye majukwaa ya CCM waanza kujipendekeza...

Elections 2010 Wasanii waliomponda Sugu kwenye majukwaa ya CCM waanza kujipendekeza...

Sugu moto juu,Nampongeza kwa usugu wako pamoja kupitia vizingiti vingi na wale wasanii waliokuwa wanakusaliti hawakujua kuwa wewe ni mwenzao wakaenda kwa wanasiasa ambao wanawanyonya kazi zao kwa taarifa wasanii wengine waliokuwa wanapiga kampeni na ccm warushwa pesa zao na wengine hawajapata mpaka sasa na kaama mbunge akushinda atawalipa kweli. Suguuuuuuuuuuuuuuu moto juuuuuuuuuuuuu
 
Nimewaheshimu sana watu wa mbeya na nawakubali sanaaaaaaaa!
Hongereni kwa kuchagua Sugu!
SUGU-pls usiogope ndani ya bunge we sema tena kwa uwazi coz kama sio leo basi 2015 CHADEMA ITACHUKUA NCHI so ili chadema 15 ifanye vizuri naomba wote wabunge wachadema msimame imara x100.
asanteni sanaa wana mbeya msijali hao ccm hawata wasaidia chochote walishindwa tangu UHURU.kila kitu mkoa wa mbeya mnacho vyakula na dhahabu chunya so msiitegeme serikali ya ccm coz watabana maendeleo hilo liko wazi mfano hai ni walivyo isusa Moshi mjini!SHAME ON THEM.
 
sugu ni mbunge wetu wa mbeya mjini na siyo mbunge wa wasanii wa tanzania, wao si waliwapigia debe ccm, basi sisiem iwatetee, acha wafu wazike wafu wenzao!

yo rite,watatetewa na jk wao waliokuwa wanampapatikia. Haaaa,am joking.
 
hivi Sugu ameshathibitishwa na nec tayari?
 
Mpo sawa kabisa wanaJF. Msanii ni kioo cha Jamii Sugu kadhihirisha hilo. Ni mpiganaji halisi ni yeye aliyepigana mpaka mziki wa kizazi kipya ukainuka, akina temba, chege na wengine walianza kuighani mashairi ya Sugu kwanza na wakapata mwanga wa kutunga nyimbo. So mi cshangai kuyashuhudia haya coz Sugu ndiyo taa yao wamwombe msamaha
 
SUGU
kazi iliyombele yako ni kubwa.
Tupo pamoja kaka
 
kuna wimbo wake ktk albam inaitwa SUGU alitabiri kuhusu yeye kuwa mbunge. Wimbo unaitwa NINGEWEZA.
 
maugomvi yenu ya kisanii msiyalete kwenye siasa bwana

Safi sana Kauzu, tufikie hatua tuheshimu uhuru wa kisiasa, si kila mtu/msanii awe chadema, wasanii waliopo ccm ni kwa utashi na uhuru wao wa kisiasa
 
Nimewaheshimu sana watu wa mbeya na nawakubali sanaaaaaaaa!
Hongereni kwa kuchagua Sugu!
SUGU-pls usiogope ndani ya bunge we sema tena kwa uwazi coz kama sio leo basi 2015 CHADEMA ITACHUKUA NCHI so ili chadema 15 ifanye vizuri naomba wote wabunge wachadema msimame imara x100.
asanteni sanaa wana mbeya msijali hao ccm hawata wasaidia chochote walishindwa tangu UHURU.kila kitu mkoa wa mbeya mnacho vyakula na dhahabu chunya so msiitegeme serikali ya ccm coz watabana maendeleo hilo liko wazi mfano hai ni walivyo isusa Moshi mjini!SHAME ON THEM.
Kwenye bold hilo ndilo neno kuu.
 
http://jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1http://2.s01.jamiiforums.com/count/Nsu/bg=FFFFFF/txt=FFFFFF/border=FFFFFF/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=1
im so afraid

Nimeipenda avatar yako dia:doh:
 
natamani kusikia interview yake na clouds fm mara baada ya kuapishwa, na-imagine jinsi wale jamaa watavokua wanapata shida kutamka neno MHESHIMIWA kabla ya kusema Joseph
 
" Hata Mtoto wa demu wangu ananiita Uncle Sugu" Hiki Kipande Zamani nilikuwa sikielewi kabisa yaani, Kipo kwenye wimbo wake wa" Wananiita Sugu" akimshirikisha Stara Thomas
 
wadau Sugu kumbe bado hajathibitishwa na nec na kuna mdau ame post hapa kuwa lowasa na makamba wako jimbo la Sugu.chadema endeleeni kuwa makini kulinda huko au hata muongeze nguvu,tusije sikia Sugu kapigwa chini.
 
Sugu mwanammme, si kama haya majinga kina Mangwea na wajinga wenzake
 
Nakaya ni mnafiki wa kutupwa na nimeapa kamwe sitosikiliza nyimbo zake wala kumpa sapoti ya aina yoyote ile, Mr. Politician kumbe ilikuwa ni kwa manufaa yake binafsi, shame on you Nakaya tulijua tumepata binti jasiri mwenye msimamo na uchungu wa nchi yake kumbe hovyooooooo mbinafsi mkubwa. Wewe na wengine wote ya aina yako ni kichefuchefu kwa watanzania.
alikuwa anaganga njaa tu. yawezekana hata kitabia ni kirukanjia kama alivyofanya kwenye siasa.
 
Joseph Mbilinyi (Sugu) ndo keshatangazwa rasmi.
CHADEMA oyee!
 
Back
Top Bottom