inasikitisha sana. pole rah p kwa yote yaliyokukuta ugaibuni.
Mr paul alieimba zuwena yuko wapi?
Mad ice ni mganda au mtanzania....??
Mr paul alieimba zuwena yuko wapi?
Yalimkuta yepi huyu dada rah p??
Solo Thang mtoto pori, kwao Mbagala!! Kajaribu mara kadhaa kwenda majuu lakini ilishindikana, niliposikia kafanikiwa nilijua tu hawezi kurudi tena!! Na ndiyo yalotokea
Mi siku zote huwa nalala naota naamka nikiomba siku 1 niende Jamaica nanisirudi kabisa milele
Rama Dee naye yupo Australia,JCB naye yupo mbefele.
lakina haina faida kwao, ikitokea amefariki huko majuu mwili wake utachomwa moto na kuzikwa,
hapa bongo hatakuwa na alama yeyote ile!!
Kifupi hina faida kifamilia!!
hivi Sna Lee (Snop Lee) mdogo wake Baucha nilisikia alizamia Germany kipindi cha 2000's toka aondoke sijawahi kuskia hata fununu kama bado yuko hai