Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikwambie mtu unapaswa ujijenge kwanza Home huko unaenda tu kama kina Dangote, Dimpoz, Kiba wanavyoenda , Nyumbani mambo yote hawanaga uvumilivu tu .....siku hizi kwenda nje ni kama kwenda Kimanzichana tu
[/COLOR]
Achana na story za vijiweni, labda unasema nje Malawi lakini Ulaya na Marekani unatakiwa uombe visa kwanza, sio Kimanzichana si ukitaka unaenda hata na baiskeli tu bila kunywa chai.
'''[/COLOR]
Achana na story za vijiweni, labda unasema nje Malawi lakini Ulaya na Marekani unatakiwa uombe visa kwanza, sio Kimanzichana si ukitaka unaenda hata na baiskeli tu bila kunywa chai.
inasikitisha sana. pole rah p kwa yote yaliyokukuta ugaibuni.
'''
wewe wasema hata Anti juzi kaenda kama anaenda kimanzichana kumbe anaenda kutangaza utalii , huyo Masanja kafanya nyumbani kwao ......usiwe mgumu kuelewa na akili zako za Mbayuwayu
Kuna kumbukumbu za vijana mbalimbali ambao kutokana na maisha yalivyowaendea hapa nyumbani waliamua kutorokea ughaibuni.
Niwengi sana watu waliotorokea nnje.
Kwa kumbukumbu zangu nawakumbuka vijana au wasanii wetu kadhaa wa mmuziki wa kizazi kipya kama Balozi Dola soul, Solo Thang, Mad Ice, footballer Renatus Njohole na weengi wengine.
Vijana hawa wengi wao wakiwa huko hupata wanawake wa kizungu na kuanzisha maisha ya kifamilia ili kuweka uwepesi wa wao kuishi nchi ya ugenini.
Bahati mbaya watoto wanaozaliwa katika mahusiano haya huwa hawajui nchi alikotoka baba na mara chache hata wanawake zao hawa huwa hawataki kabisa kuja Afrika.
hii hupelekea kizazi kupotelea ughaibuni na vijana wetu kuwa kama wao ndio walioolewa huko Ulaya!!
Maoni yangu ni kwamba vijana tuwe wavumilivu na tukubali kupambana na maisha yetu hapa Afrika na kukataa kuolewa na wazungu ulaya na Marekani huku tukiachia familia zetu hali ya sintofahamu kuhusu kijana wao aliye ulaya ambae hawana faida nae wala undugu na kizazi anachoanzisha ulaya kikiwa hakina faida yeyote nyumbani!!!
Nakumbuka juzi kati kuna Mlugulu mmoja kafia Texas marekani kwa kuchomwa kisu, mwili umeletwa morogoro kwa mazishi cha kushangaza mke wake mmarekani na watoto wake wawili hajaja bongo...so kwa mtindo huo watoto c ndo wamepotelea huko!!watarudi Kweli kwa babu yao Mzee kobelo!??
Kijenge Juu kwa watengwa vipi mbona hamsikiki siku hizi machalii dah! Hapo kijenge ndio home fasi ya watengwa nakati ya mwisho wa vi ice.JCB kaka come back home.. Kijenge tunakumiss ujue..
Maisha bila mizizi hom?
We nawe ueleweki, wanakwenda kutafuta maisha, sasa wewe unasema mizizi home, mizizi ya nini? Dawa za kienyeji?
We nawe ueleweki, wanakwenda kutafuta maisha, sasa wewe unasema mizizi home, mizizi ya nini? Dawa za kienyeji?
Maisha ukishayatafuta inaleta maana kama utarudi hom baada ya mafanikio. Tunachokizungumza hapa jamaa ni kama wanaenda kutafuta maisha bora ya kipindi kifupi.
Mizizi niizungumziayo hapa ni kumbukumbu ya kizazi chako nyumbani kwenye familia yako!
Wanaenda ndio Ulaya lakini kule ni kama wao wanakuwa ndio wameolewa au watumwa, maana hata likizo huwa hawawezi kurudi na familia zao za kizungu wengi wao! na ukoo wao ndio huwa wamepotelea huko. Ndugu zao waliowaacha nyumbani ni kama ndio undugu huwa umekufa, sasa huu si utafutaji kabisaa
Hakuna mama wa kitishi anaemkataza mtoto kurud gostan na babake kuja kusalimia isipokuwa washkaji ndo wanawachomolea kwa kuwatisha kwa kila namna hao watoto wa kzungu mfano anamwambia kwetu kuna vita malaria nzi wamejaa kwa iyo we niache nkaandae mambo ntakuchukua bdae