Wasanii waliopotelea "Majuu" kuna faida yoyote?

Wasanii waliopotelea "Majuu" kuna faida yoyote?

Asikwambie mtu unapaswa ujijenge kwanza Home huko unaenda tu kama kina Dangote, Dimpoz, Kiba wanavyoenda , Nyumbani mambo yote hawanaga uvumilivu tu .....siku hizi kwenda nje ni kama kwenda Kimanzichana tu

Achana na story za vijiweni, labda unasema nje Malawi lakini Ulaya na Marekani unatakiwa uombe visa kwanza, sio Kimanzichana si ukitaka unaenda hata na baiskeli tu bila kunywa chai.
 
we bwana waache watu wakatafute maisha huko mbele. aliyekuambia kuwa uzalendo unaliwa nani?
 
[/COLOR]

Achana na story za vijiweni, labda unasema nje Malawi lakini Ulaya na Marekani unatakiwa uombe visa kwanza, sio Kimanzichana si ukitaka unaenda hata na baiskeli tu bila kunywa chai.

ah ah hiyo sasa dharau, lakini poa mkuu na karibu sana chitipa
 
[/COLOR]

Achana na story za vijiweni, labda unasema nje Malawi lakini Ulaya na Marekani unatakiwa uombe visa kwanza, sio Kimanzichana si ukitaka unaenda hata na baiskeli tu bila kunywa chai.
'''

wewe wasema hata Anti juzi kaenda kama anaenda kimanzichana kumbe anaenda kutangaza utalii , huyo Masanja kafanya nyumbani kwao ......usiwe mgumu kuelewa na akili zako za Mbayuwayu

'''

wewe wasema hata Anti juzi kaenda kama anaenda kimanzichana kumbe anaenda kutangaza utalii , huyo Masanja kafanya nyumbani kwao ......usiwe mgumu kuelewa na akili zako za Mbayuwayu

Ingekuwa kama unavyosema wewe, unaenda kama Kimanzichana vijana wakibongo wangejazana Ulaya na Marekani, we unafikiri wanapenda kupiga debe na kuzurura kuuza kimachinga kutwa nzima? Bila maelezo ya kueleweka upewi visa, we unasema Kimanzichana. Kuna watu kibao wanalalamika kuhusu visa, acha masihara na babylon na nyumbani kwake wewe.
 
Lakina hapa si ugumu wa kwenda huko majuu,
tatizo ni kwamba vijana wakishafika huko mbele basi hutelekeza ndugu na hata wazazi wao kabisa na hii kwa tamaduni zetu Afrika ni sawa na laana!!
 
Kuna kumbukumbu za vijana mbalimbali ambao kutokana na maisha yalivyowaendea hapa nyumbani waliamua kutorokea ughaibuni.
Niwengi sana watu waliotorokea nnje.

Kwa kumbukumbu zangu nawakumbuka vijana au wasanii wetu kadhaa wa mmuziki wa kizazi kipya kama Balozi Dola soul, Solo Thang, Mad Ice, footballer Renatus Njohole na weengi wengine.

Vijana hawa wengi wao wakiwa huko hupata wanawake wa kizungu na kuanzisha maisha ya kifamilia ili kuweka uwepesi wa wao kuishi nchi ya ugenini.
Bahati mbaya watoto wanaozaliwa katika mahusiano haya huwa hawajui nchi alikotoka baba na mara chache hata wanawake zao hawa huwa hawataki kabisa kuja Afrika.
hii hupelekea kizazi kupotelea ughaibuni na vijana wetu kuwa kama wao ndio walioolewa huko Ulaya!!

Maoni yangu ni kwamba vijana tuwe wavumilivu na tukubali kupambana na maisha yetu hapa Afrika na kukataa kuolewa na wazungu ulaya na Marekani huku tukiachia familia zetu hali ya sintofahamu kuhusu kijana wao aliye ulaya ambae hawana faida nae wala undugu na kizazi anachoanzisha ulaya kikiwa hakina faida yeyote nyumbani!!!

Nakumbuka juzi kati kuna Mlugulu mmoja kafia Texas marekani kwa kuchomwa kisu, mwili umeletwa morogoro kwa mazishi cha kushangaza mke wake mmarekani na watoto wake wawili hajaja bongo...so kwa mtindo huo watoto c ndo wamepotelea huko!!watarudi Kweli kwa babu yao Mzee kobelo!??
 
Tuna mjomba wetu mmoja yeye alikuwa Amerika miaka ya mwanzoni mwa 80, alipata mwanamke huko na kuzaa nae watoto wawili mapacha. ilifika muda akarudishwa nyumbani Tz miaka hiyo hiyo.

Aliambulia kurudi na picha za watoto tu! hakuna cha mke wala mtoto aliyekuja Afrika, na kwa bahati mbaya mpaka anakufa miaka ya 2000 hakkufanikiwa kupata mtoto zaidi ya aliowaacha Amerika!!
 
JCB kaka come back home.. Kijenge tunakumiss ujue..
Kijenge Juu kwa watengwa vipi mbona hamsikiki siku hizi machalii dah! Hapo kijenge ndio home fasi ya watengwa nakati ya mwisho wa vi ice.

JCB saivi anaendesha matruck US hataki wenge.
 
We nawe ueleweki, wanakwenda kutafuta maisha, sasa wewe unasema mizizi home, mizizi ya nini? Dawa za kienyeji?

Maisha ukishayatafuta inaleta maana kama utarudi hom baada ya mafanikio. Tunachokizungumza hapa jamaa ni kama wanaenda kutafuta maisha bora ya kipindi kifupi.

Mizizi niizungumziayo hapa ni kumbukumbu ya kizazi chako nyumbani kwenye familia yako!

Wanaenda ndio Ulaya lakini kule ni kama wao wanakuwa ndio wameolewa au watumwa, maana hata likizo huwa hawawezi kurudi na familia zao za kizungu wengi wao! na ukoo wao ndio huwa wamepotelea huko. Ndugu zao waliowaacha nyumbani ni kama ndio undugu huwa umekufa, sasa huu si utafutaji kabisaa
 
Sasa hizi habari umezitoa kijiweni tu, au umezipata wapi? Aliyekwambia ukioa Ulaya unakuwa kama mtumwa au ukiwa na watoto huwezi kurudi nao nyumbani kwa rikizo kakudanganya, usiamini kila kitu unachokisikia kwenye vijiwe.
Anyway, kama vipi we endelea tu na maisha yako na mchakato wa katiba mpya, waache hao waliopotelea ughaibuni kwa mpango wao.
 
Unaweza kufikiri kuwa unajua kila kitu au ni mwerevu sana kumbe u mtupu kichwani!
Rudia kuusoma uzi utaelewa tu!!@ Salamander
 
Mbefele jonbosco arifu bongo had uende serena ndo utakutana na party kama sex on beach hao wakali washakutana na meng ambayo bila kugoogle huwez yajua mfano gay pride festival kama ingekuwa kmnzchana we unazan wasabato wangejitia uchizi kipindi kile airport
 
Hakuna mama wa kitishi anaemkataza mtoto kurud gostan na babake kuja kusalimia isipokuwa washkaji ndo wanawachomolea kwa kuwatisha kwa kila namna hao watoto wa kzungu mfano anamwambia kwetu kuna vita malaria nzi wamejaa kwa iyo we niache nkaandae mambo ntakuchukua bdae
 
Duuh kama ni hivyo wanakataa wenyewe basi ni huruma sana!!
 
Back
Top Bottom