tofaut na chuki maisha yako ayafikii thelusi na ya huyo umtajaeAlikibakuli je ??
Unahamu ya kukunwa wew zerobreintofaut na chuki maisha yako ayafikii thelusi na ya huyo umtajae
ukiona mtu anajibu kwa lugha yenye matusi jua hana hoja yeye ni wakushindwa basi hutumia nguvu kubwa kushawishi ndio kama wwUnahamu ya kukunwa wew zerobrein
Tatizo lililopokwani kuna shida gani ukiaa kwenu huku unamtakacare mama yako mzazi,,Maisha hayawezi kufanana hata siku moja
Sasa hiyo ni shida ya Watanzania wenyew, kwanini uumie kisa lifestyle ya mtu?Tatizo lililopo
Ni kwanini hawaishi maisha kama tuliyoyazoea sisi wananchi wengine ?
Tanzania ni kawaida kukuta mtu anaumia zaidi na lifestyle ya mtu fulani akiamini kwamba lifestyle yake inafaa kuigwa na kila mtu
Joh makin ana mafanikio gani??
waulize watanzania wenzako , mkuuSasa hiyo ni shida ya Watanzania wenyew, kwanini uumie kisa lifestyle ya mtu?
Tid hana uwezo wa kupanga nyumba nzuri na kuishi maisha anayoyataka ndiomaana kang'ang'ania kwa mama hata akichoka mtaani anakopesheka bia.Hata muheshimiwa Jokate nasikia bado anakaa kwao
Inawezekana ni maamuzi sio kama hana uwezo wa kutoka nyumbani
AiseeAna pensi na soksi za pundamilia
20%Top 5 ya Worst losers wa bongo fleva ni
1.Q-Chillah
2.Mr.Nice
3.Ray C
4.TID
5. Chid Benz
Linex Mungu kambania tu lakin walio hai na wafu wanakiri tu jamaa ni shida. Kipind nyota ya mond inatokelezea alkuwa tayar juu.
Unatafuta ugomvi watakuvamia oohooo.Ali kina miaka ya 2010 alipigika akaacha mziki baada ya kushushwa ili diamond apandishwe na clouds hili tukio lilileta kutoelewana kwa kina na clouds akamaindi akakaa kimya kwa miaka mitano hivi ndio clouds wakamfata upya aje kumshusha diamond, alirudi tena kwenye bwawa la fedha kwa bifu lake na diamond ola sasa mambo hayaendi baada ya kichwa ruge kutangulia mbele, kwa sasa pesa zimekata hata deni la milioni 4 huko studio hajalipa