[emoji2][emoji2] ndiyo mkuu, town kabisa ni "KATA YA MAGOGONI", "KATA YA KISUTU (ndani yake ndo ipo Posta pia)", "KARIAKOO", "MNAZI MMOJA" na hata Kata ya UPANGA pia ipo town flani.
Sema siunajua maeneo ya Masaki, Oysterbay, Msasani, Mbezi Beach, Mikochoni.. Huko ni Uzunguni flani ndo maana nikayapa heshima zao. Mitaa hyo panapendeza kwa kweliii[emoji2][emoji2]
ila my point nilkuwa najaribu kumjibu mtoa mada kuwa "KUNA BAADHI YA MAMBO UKTAKA KUTUSUA NDOTO ZAKO BASI NI MUHIMU SANAAAA KUHAMIA SEHEMU AMBAYO NDO KITOVU CHA MAMBO YATAKAYOKUSAIDIA KIURAHISI KUKAMILISHA NDOTO ZAKO"
NB: KUNUNUA "BENTLEY CONTINENTAL GT" HALAFU UKAWA UNAIENDESHEA KWENYE MAKORONGO, VISIKI NA MAWE, NI KUFANYA MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI" [emoji2].
Hivo mtu mwenye kipaji cha muziki na anayetaka kuwa mwanamuziki wa Kitaifa basi ni vyema akajinoa kwnza sana na kisha atafute "connections" ambapo kwa TZ hakuna ujanja itamlazimu tu kuja DSM.