Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

picha
 
Huo ni wivu tu tens wakiboya.. Uanze kujiuliza nikitika roll za 2022 atanunua kwa pesa gani kwani pesa ya hili rolls LA 2021 umempa wewe..? Wacha kijana aneng'eneke na pesa zake.. Mshikaji ana pesa sana licha ya umri wake mdogo aliokuwa nao.. We mpaka utazee utaishia wivu tu hata Prado ya millions 100 hutokuja kumiliki
 
Nimekusoma .....
 
Bata kavaa laizon kuku kapanda baikeli.
 
Konde boy amekulipa bei gani kupost huu Utopolo!?😂😂🤣
 
kwa haraka haraka wewe ni Chawa wa Kiba au Mwijaku.....................
 
Eti utafikiri kaachwa na demu wake 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ila mi napata tabu kung'amua siku hizi ushindani umeamia kwenye magari sio nyimbo nzuri tena?
 
hili ni dua la kuku kbsaaaa....kwani wewe akifulia au kutokufulia kunakuathiri kitu gani..... acha kupangia watu maisha kama wewe ambavyo hupangiwi
Kwaiyo unawashauri nini waliofungua ofisi za ushauri wa maswala ya kifedha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…