Tafuta hela zitumie kelele za wanadamu achana nazo.
Mondi Ni msanii mkubwa halina ubishi Hilo na pesa anayo unaweza kuwa hukubaliani nae kwenye Mambo fualni fulani.
Na hiyo haikufanyi umpangie namna ya kutumia pesa yake,maana huijui kaipata vipi vipi.
Ni Jambo zuri kufanya Jambo la maendeleo apongezwe na Ni vizuri akiigwa .
Wasanii wale wa kale akili hazikuwepo walipata pesa wakavuta ganja ,pomba na kumbato mademu kitaa Sana tu .
Saivi wa juu ya mawe wanapiga miayo tu.
Ili diamond aje afulie it means YouTube Ife,apple Ife,boomplay Ife, social media zote zife maana hela anapatia huko kwa kiasi kikubwa na Ina mpa jeuri ya kuishi maana ana msuli mnene huko .
Kisha aanze kukimbiza na maredio yaani turudi enzi ujima Basi diamond atarudi tandale .
Bahati mbaya haiwezi tokea .
Ukishajua Hilo kilichobakia na wewe Ni kutafuta hela zako tu halafu mkutane huko juu muoneshane umwamba .
Otherwise utakuwa mpumbavu