Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

Vuta pumzi taratiiiiibu! Halafu shushaa, vipi mkuu unateseka ukiwa wapi 🤷🏼‍♀️
 
Hahahaah nimesikia Zari kamshauri dai avute na Bentley na Lamborgini...Hahahah kwani inawaumaeeee au inawakera.....!
 
Ila mi napata tabu kung'amua siku hizi ushindani umeamia kwenye magari sio nyimbo nzuri tena?
Si kwenye magari bali kwenye kuonyesha mafanikio ya kazi zao za muziki, siyo kutunga mashairi marefu na kujikakamua eti kutoa sauti nzuri lakini fans hawaoni anachovuna au anachovuna hakiwaridhishi fans wanaoshindana kwa kutukanana mitandaoni.
Wale waliokuwa wakiwashindandisha wasanii wao wa Kibongo na Sadala ndiyo maana wamehamia kwa akina Burna Boy baada ya kuona wasanii wao wameachwa mbali.
Hiyo ni painful truth kwa wasiompenda Sadala.
 
Diamond alikuwa na ndoto ya kumiliki hili gari tangu 2015. Hili ni gari la ndoto zake jombaaa. Ningekuona wa maana kama ungemshauri kipindi hicho alichotangaza kutaka kuinunua hiyo gari. Sasahiv mchuma uko mikononi mwake kwa raha zake. Maneno yako sasahivi ni useless bin trash. Endelea kuteseka huko huko uliko juu ya mafanikio ya mwanaume mwenzio....
 
Hahahaah nimesikia Zari kamshauri dai avute na Bentley na Lamborgini...Hahahah kwani inawaumaeeee au inawakera.....!
Heeee niliandika kama utani hivi...jamaa ameishatangaza huko Insta kuwa amekwisha agiza hii makitu....kwani inawakera!
 
Dah
Ww mbna kama una matatizo ndugu

We umejuaje hatonunua lingine?
Umejuaje kamaliza kibubu?

Umejuaje atashindwa kulitengeneza?

Umejuaje alihangaika miaka yote kupata hio hela ya rolls royce tu?

Ruka ruka hapo kwenu mkuu lakini gari tayari analo...sasa sijui utaenda kumfokea? Mimi sijui ila umerelease heat yako sehemu ambayo kuna 0.00001% ya kupata kusikika na unayemsema na sio hilo tu ana 6 mengine ambayo yatapoteza hela yake haraka zaidi kama usemavyo kama ulikua hujui ndo ujue sasa na mawili mengine kanunua mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya kufa


Bado ungo na kaniki tu ww
 
Aisee kisa diamond watu wanalipuka matusi[emoji1][emoji1]

Jana mzee extrovert nae kalipuka Hadi kala ban .[emoji1]

Aiiiseeee dah[emoji1]
 
Aisee kisa diamond watu wanalipuka matusi[emoji1][emoji1]

Jana mzee extrovert nae kalipuka Hadi kala ban .[emoji1]

Aiiiseeee dah[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…