Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Duh maskini, apumzike kwa AmaniHuyo huyo mkuu,tumemzika kwao Morogoro,alikuwa na wowowo balaaa,alivyokuwa anaumwa ukiambiwa huyu ndiye bahati mtikisiko unamkana,ngwengwe noma sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh maskini, apumzike kwa AmaniHuyo huyo mkuu,tumemzika kwao Morogoro,alikuwa na wowowo balaaa,alivyokuwa anaumwa ukiambiwa huyu ndiye bahati mtikisiko unamkana,ngwengwe noma sana mkuu
salama jabir wa mkasi show,alitoka zanzibar vizuri anavaa hijab dubwi dubwi lakini saiv ndio yule hujui kama ni mwanamke au mwanaumeKati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz.
Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
Katika maisha unayoishi isimcheke mtumiaji wa madawa ya kulevya haya siku moja!Wewe jaribu kumsaidia na kumshauri.
Mtu yoyote akibugi anaweza ingia ktk utumiaji wa madawa!
Ni kweli mkuu ila kwa kiasi kikubwa wanakula ngada ni aina ya watu wanaotaka kujaribu kila aina ya starehe hata kama zingine washaona matokeo hasi kwa wahanga waliotumia,unaowasemea wewe ni mmoja kati ya kumi mkuu,sasa mtu kama chidbenz kakosa nn,maisha mswano,mama yupo vzuri kiuchumi,anataka nn tena,au mfano Ray C alikosa nn kwani,wengine kaka hakuna excuse,wamejitakia
Ovaaaaa
Kwenye Fagilia mademu wapo wawili,mmoja kavaa nyekundu mwingine nyeusi,ni yupi aliyevuta na lini?Huyo huyo mkuu,tumemzika kwao Morogoro,alikuwa na wowowo balaaa,alivyokuwa anaumwa ukiambiwa huyu ndiye bahati mtikisiko unamkana,ngwengwe noma sana mkuu
Who is Ruge by the way??? Kwa nin wamuogope??Wazo zuri ila sio kwa Tanzania aisee haiwezekani wasanii wote Tanzania wanamuogopa ruge kasoro lady jaydee tu na ndo deal zake hizo je itawezekanaje mkuu?
Mkuu wale ni wasanii na yule ndo bosi wao angalia leo insta walivyoichafua na usipo post kapuniWho is Ruge by the way??? Kwa nin wamuogope??
Kwenye Fagilia mademu wapo wawili,mmoja kavaa nyekundu mwingine nyeusi,ni yupi aliyevuta na lini?
Ww kama hujui lugha za watu usizitumie kwani ukiandika kiswahili lugha yako vidole vinavimba au? Eti refer Whitney Houston and his daughter" shame on you next time post on your own language
Weeeee,,, seriously??Mkuu wale ni wasanii na yule ndo bosi wao angalia leo insta walivyoichafua na usipo post kapuni
Unajua mkuu yule jamaa ruge na station yake anawapelekesha sana wasanii wasipokuwa makini watateswa mpaka kufaWeeeee,,, seriously??
Picha zinajieleza apoHeee,huyu wa kushoto nae teja????,aasaaaaleeeee
Lakini mkuu hii inasababishwa na wasanii kutokuwa na management au?? Haiwezekani mtu mzima uyumbishwe na mjinga mmoja tu..Kwani clds ndo stesheni ya kuwapa promo tu wasaniiiii??Unajua mkuu yule jamaa ruge na station yake anawapelekesha sana wasanii wasipokuwa makini watateswa mpaka kufa
Jana ilikuwa ni clouds ndani ya dstv
Kuna yule bdozen ana t shirt zake za born 2 shine wasanii wanazifanya jezi huko insta daa msaada unahitajika kwa kweli
Ndo hivyo ni kama kipindi kile cha campaign walivyolazimishwa waipende ccm ukikataa nyimbo zako kapuniLakini mkuu hii inasababishwa na wasanii kutokuwa na management au?? Haiwezekani mtu mzima uyumbishwe na mjinga mmoja tu..Kwani clds ndo stesheni ya kuwapa promo tu wasaniiiii??