Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Katika maisha unayoishi isimcheke mtumiaji wa madawa ya kulevya haya siku moja!Wewe jaribu kumsaidia na kumshauri.
Mtu yoyote akibugi anaweza ingia ktk utumiaji wa madawa!

Ovaaaaa
 
Kati ya wasanii (wanaodaiwa 'kula unga') ambao huwa nikiwaona walivyopungua na kupoteza mwili mzuri waliokuwa nao hapo awali ni Chid Benz.

Je, kuna ambae kwa upande wako anakusikitisha?
salama jabir wa mkasi show,alitoka zanzibar vizuri anavaa hijab dubwi dubwi lakini saiv ndio yule hujui kama ni mwanamke au mwanaume
 
 
Bernard Paulo anagonga hii makitu, anahitaji msaada... Ni frustration za kutofikia level za kimataifa.... Ukiangalia dogo ni mkali kuliko Mondi, lakini hafahamiki hata hapo Kigali.... Ukija akija mawingu fm kwa Ruge wanabana... Lazima apitie kino kujituliza.
 
Huyo huyo mkuu,tumemzika kwao Morogoro,alikuwa na wowowo balaaa,alivyokuwa anaumwa ukiambiwa huyu ndiye bahati mtikisiko unamkana,ngwengwe noma sana mkuu
Kwenye Fagilia mademu wapo wawili,mmoja kavaa nyekundu mwingine nyeusi,ni yupi aliyevuta na lini?
 
Wazo zuri ila sio kwa Tanzania aisee haiwezekani wasanii wote Tanzania wanamuogopa ruge kasoro lady jaydee tu na ndo deal zake hizo je itawezekanaje mkuu?
Who is Ruge by the way??? Kwa nin wamuogope??
 
Kwenye Fagilia mademu wapo wawili,mmoja kavaa nyekundu mwingine nyeusi,ni yupi aliyevuta na lini?

Kuna mmoja ana mauno balaa na wowowo lake ni zaidi la mwingine,kavaa nyekundu,maarufu kama bahati mtikisiko,ndio huyo mazee,kafa kama miaka 3-4 ya nyuma,amezikwa moro,familia yao ipo maeneo ya mji mpya,hata magazeti ya udaku pindi anaumwa walikuwa wanatoa sana habari zake akimlalamikia mpenzi wake Mr.Nice kutompa msaada wowote ule
 
Last edited:
Ww kama hujui lugha za watu usizitumie kwani ukiandika kiswahili lugha yako vidole vinavimba au? Eti refer Whitney Houston and his daughter" shame on you next time post on your own language

Na wewe jitahidi kupost kwa kutumia lugha yako
 
Weeeee,,, seriously??
Unajua mkuu yule jamaa ruge na station yake anawapelekesha sana wasanii wasipokuwa makini watateswa mpaka kufa
Jana ilikuwa ni clouds ndani ya dstv
Kuna yule bdozen ana t shirt zake za born 2 shine wasanii wanazifanya jezi huko insta daa msaada unahitajika kwa kweli
 
Lakini mkuu hii inasababishwa na wasanii kutokuwa na management au?? Haiwezekani mtu mzima uyumbishwe na mjinga mmoja tu..Kwani clds ndo stesheni ya kuwapa promo tu wasaniiiii??
 
Lakini mkuu hii inasababishwa na wasanii kutokuwa na management au?? Haiwezekani mtu mzima uyumbishwe na mjinga mmoja tu..Kwani clds ndo stesheni ya kuwapa promo tu wasaniiiii??
Ndo hivyo ni kama kipindi kile cha campaign walivyolazimishwa waipende ccm ukikataa nyimbo zako kapuni
 
Nikiwa rais Mimi mtumia unga na muuza unga wote funga jela.


Nawakata kwa utaratibu kama alivyokatwa lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…