Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?


Huyu APA ndo jipu linatakiwa litumbuliwe bongo movie yote kamaliza na bongo fleva
 
yaani tid yupo live fnl.. anajua bhanaaa hizi ngada Walaaniwe wanaileta
 
Kuna yule aliyejidanganya eti atafanya deal moja la kulala maskini na kuamka tajiri. Ameshalala mazimaaaa
 
Me namkubali FA NA A.Y hawana hizo mambo aisee kwanza wana elimu ya kutosha elimu elimu elimu
 
Ndo hivyo ni kama kipindi kile cha campaign walivyolazimishwa waipende ccm ukikataa nyimbo zako kapuni

Licha ya nyimbo zako kupigwa kapuni, wasanii wetu tegemeo la mapato yao in shows za ndani na wadau wengi wapo close na clouds licha ya wao pia kuchangia idadi kubwa sana ya show kwa mwaka..

Lazima uwe mpoleeee.. Afu bado ukija kwenye shows wasanii wanalipwa kidoogo kiasi kwamba haya madawa yanakuwa hayazuiliki hasa watoto wa kiume maana wao hawahongwi
 
Hali inatisha kiukweli. ..nipo chimbo kufanya tathmini nije na list ya ukweli ya wanamuziki na vijana maarufu bongo wanaopumuliwa kisogo. .mbaya zaidi wengine wanakula unga na kubokolewa

Mkuu tunasubiri hiyo report yako..Maana vijana wanatia aibu.
 
Usiniambie Savimbi Jr ni mwanamusiki
 
Mkuuu! Chillah hata mie ananisikitisha sana!!! The dude is talented, hakuna nyimbo katoa sijapenda. Such a waste of talent!!!
Bado hajaacha tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji85]
 
Aaache na asirudi tena kwenye huo ulimwengu. Kijana yuko fit sana kwenye gemu, I love his music!!
Hivi kwann mateja hupenda kukuna shingo hata kama wakiacha??????mtazame q chillar kwenye video ya for you wakati anamwomba mb dog viatu
 
Orodha ya wavuta unga kwa wasanii hapa Tanzania ni kubwa sana, wapo wengi wanatumia kwa siri ila wanajitutumua kwa kulinda status zao.
Baadhi ni hawa nimewahi kuambiwa na kusikia kutoka kwa watu wa karibu wanaowafahamu au kwenye media.
1/Juma Nature.
2/Chege.
3/Mheshimiwa Temba.
4/Afande Sele.
5/Mr.Blue.
6/Twenty %
7/Lady JD.
8/Fid Q.
9/Bushoke.
10/Salama J.
11/Wema Sepetu.
12/Young D.
13/Ben Paul.
14/Sister P.
15/Madee.
16/Ferouz.
17/Karapina.
18/Sugu.
19/Dully Skesy.
20/Ally Choki.
21/Chidi Benzi.
*Baadhi yao(Wachache sana) inasemekana wamefanikiwa kupunguza au kuacha
 
Mimi star siwezi ogopa skendo
Na mama usijali ipo siku nitakujengea mjengo
Kwa kuuza huu mziki, drugs au meno ya Tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…