Hapana tulikwenda kikazi kukusanya data za hali ya maisha ya mkoa wa singida.ndo nikapangwa kata ya mtinko,kijiji cha malolo,dah! nyie wakarimu sana mkuu nifurahi kuwa pale.Dah! Mtinko kwetu mkuu ...vp na ww mwenyeji nn huko?
Kila la heri ukiipataHivi wakuu ukiwa unabwia sembe lazima ukonde?naombeni contact inapopatikana nataka kukonda maana nimenenepa kama kibakuli!
daah hatari sanaMtu anakuwa kashatumia kila kilevi na kimemzoea kwa extent ambayo hakuna kinachompa "stimu" za haraka kama atakavyo. Kwa kuwa vijisent vinakuwepo anaanza kutumia unga ambao huwa na burudani ya aina yake pale unapoanza kwa mujibu wa mateja wastaafu.
Mkuu,kwa wenzetu wanatambua kuishi km star ni mtihani mkubwa kuliko kuwa star ndo mana star anakuwa na management team inayomuongoza nn afanye ktk wakat gan na wap.Nimekuwa najiuliza sana inakuwaje wasanii wengi wa muziki au filamu wanapenda kutumia madawa ya kulevya (unga) ?
Iwe kwa mastaa wa nje na hapa Tz wengi wanajiingiza kwenye ubwiaji wa unga, au bangi
hebu tujadili chanzo huwa ni nini hasa? Huwa inakuwaje kuwaje hadi msanii anaamua kutumia madawa ya kulevya??
Je, kuna faida zipi wanapata wakitumia?? maana naona hasara zake zinajulikana!
Nimekuwa najiuliza sana inakuwaje wasanii wengi wa muziki au filamu wanapenda kutumia madawa ya kulevya (unga) ?
Iwe kwa mastaa wa nje na hapa Tz wengi wanajiingiza kwenye ubwiaji wa unga, au bangi
hebu tujadili chanzo huwa ni nini hasa? Huwa inakuwaje kuwaje hadi msanii anaamua kutumia madawa ya kulevya??
Je, kuna faida zipi wanapata wakitumia?? maana naona hasara zake zinajulikana!
Umenivunja mbavu fuko zima laMadawa yaliyozoeleka bongo yanakufanya uwe chizi kabisa, ni Yale ambayo kwa wenzetu huko america labda mtu apigike ndo anatumia, haya madawa ni kama methamphetamine na crack cocaine(cocaine kiduchu inachanganywa na fuko Zima la baking powder), iwaje usiwe kichaa, about ile kitu pure ya cocaine ambayo ni 150,000 kwa gram kibongobongo haipo sana, safest way kwa hawa wasanii wetu wapige ganja natural tu hayo madawa ni shida
Madawa yaliyozoeleka bongo yanakufanya uwe chizi kabisa, ni Yale ambayo kwa wenzetu huko america labda mtu apigike ndo anatumia, haya madawa ni kama methamphetamine na crack cocaine(cocaine kiduchu inachanganywa na fuko Zima la baking powder), iwaje usiwe kichaa, about ile kitu pure ya cocaine ambayo ni 150,000 kwa gram kibongobongo haipo sana, safest way kwa hawa wasanii wetu wapige ganja natural tu hayo madawa ni shida