Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Daz baba huyu ndo kabaki fuvu tu
Bora huyo toka zaman alikuwa chembamba chid benz je
910a6515d1a501979777146cc32b73e6.jpg
 
Hivi wakuu ukiwa unabwia sembe lazima ukonde?naombeni contact inapopatikana nataka kukonda maana nimenenepa kama kibakuli!
 
Hivi wakuu ukiwa unabwia sembe lazima ukonde?naombeni contact inapopatikana nataka kukonda maana nimenenepa kama kibakuli!
Unaweza usikonde ila kama wa kiume ukafanywa kipoozeo na masela
 
Sugu havuti unga
Orodha ya wavuta unga kwa wasanii hapa Tanzania ni kubwa sana, wapo wengi wanatumia kwa siri ila wanajitutumua kwa kulinda status zao.
Baadhi ni hawa nimewahi kuambiwa na kusikia kutoka kwa watu wa karibu wanaowafahamu au kwenye media.
1/Juma Nature.
2/Chege.
3/Mheshimiwa Temba.
4/Afande Sele.
5/Mr.Blue.
6/Twenty %
7/Lady JD.
8/Fid Q.
9/Bushoke.
10/Salama J.
11/Wema Sepetu.
12/Young D.
13/Ben Paul.
14/Sister P.
15/Madee.
16/Ferouz.
17/Karapina.
18/Sugu.
19/Dully Skesy.
20/Ally Choki.
21/Chidi Benzi.
*Baadhi yao(Wachache sana) inasemekana wamefanikiwa kupunguza au kuacha
vuti unga
 
"On your own language" Basi sawa umesikika. Unaonaje na wewe ukianza kutumia kiswahili au kilugha chenu kindali ukaachana na yai la Malkia.. Chukua ushauri wako mwenyewe
Umemkosoa ila hujaandika hicho unachoona ni sahihi...umepoteza uhalali wa kumkosoa
 
Dah,nami niliwahi kutana nae pale rufita bar akiwa kachoka mbaya,mwezi mmoja baabae nilienda singida kijiji kinaitwa MTINKO nikakuta mabango yanayoonesha kwamba wiki mbili nyuma ilikua ni tarehe ya yeye kupiga show,nilisikitika sana mana huku mjini haskiki kabsa kweli nchi yetu kuna watu wakishakutumia ukaishiwa hawana time na wewe tena.hapa ndo naumia nikkiiskia ile nyimbo ya Rady J dee IWEJE UWE HISTORIA KABLA SIKU ZAKO HAZIJAFIKA.Leo watu kama chid,Tid,Rayc na huyu daz baba wamekua historia kabla ya muda wao.
Dah! Mtinko kwetu mkuu ...vp na ww mwenyeji nn huko?
 
Back
Top Bottom