Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Wasanii wanaodaiwa kutumia madawa ya kulevya, ni yupi anayekusikitisha?

Hivi Serikali si wangewakamata hawa watumiaji wawapeleke wanakoyapata shida iko wapi hapo ????
Sijasema viongozi wa serikali wakishirikiana na wafanyabishara wakubwa ndio wanaingiza na kusambaza UNGA, kwani kwa kusema hivyo wangenidaka kutumia sheria ya mitandao

Dah!!! Huu Unga kwel kiboko mshikaji (TID) alikuwa Nyamvuto lakini cku izi hutamani hata kumuangalia, Ee mungu tusamehe

Unaanzaje kuvutiwa na mwanaume mwenzako? Serekali ingalie pia hili swala la wanaume kuvutiana ni hatari kuliko hayo madawa ya kulevya

Tatizo lilipo kwy Soko letu la bongo flavor kwamba wadau wa Music wengi wanafanya biashara ya madawa ya kulevya. Na ndio maana wasanii wengi wanajikuta wanaingia ktk ishu ya Heroine and Cocaine bila kujua. Unakuta bossi wake anamtuma anampa pesa na kukataa uwezi. Mwisho wa siku ktk kufanya biashara. Sasa siku nyingine unapewa mzigo wajanja wanakudhulumu pesa Wakati ushafahamu mtandao wote wa Heroine and cocaine. Na wengi wasanii walionekana wanaenda tofauti na mabosi wao ndio unakuta. Awampi shoo za kupata pesa mwisho wa siku anakuwa kaingia mtandao wa madawa. Hii Bongo flavour tunadanganyana eti kafanya show kalipwa sjui bei gani. Uwongo mtupu wengi nyuma ya pazia ni biashara ya Heroine and cocaine.
Wengine unakuta kagongea Sigara ambayo omechanganywa na cocaine
Wengine wanajikuta wameingia kutokana..................

Biashara ya mziki na unga ni pete na kidole sio bongo tu

Biashara ya mziki na unga ni pete na kidole sio bongo tu
mkuu eazy e wanikumbusha the late!

Let him R.I.P
by the way unga unalipa kwa wafanya biashagra kilio changu ni kwa watumiaje, Mungu awalinde pamoja na mm

pia kuna wabebaji hawa tunawaita begi naskia huwa wanafanyiwa kabisa operation waingiziwe madawa. hao nao wanaumia na hawakuwi daily wanadimaa mf..

Salamu kwa kaka mtambo luangwa wapi edson de nascimento pele had vifaa vyao wanaviimba kwenye ngoma zao hapo huruma hamna zaidi ya kuwapa kamshangwe mana wenyewe wanadai wapo kwenye makundi ya world cup we unawaonea huruma ushawai kupanda ndege au unataka dr sikujua afeli maisha

Siwezi kusikitikia mtu wakati anaanza alikuwa anajua madhara yake.....:!

Kula unga ni kwenda na wakati ndio ukisasa wenyewe.mpaka sasa wako wasanii mateja wachache.kila msanii anatakiwa kuwa teja!!

Wazo langu. Timu ya Simba,Yanga,Azam na Costal Union zikitoka njee ya nchi kwenda katika mashindano yoyote wakaguliwe sana. Maana awa matajiri wanaowekeza wanataka faida

Najiuliza kulikoni idadi ya waathirika wa madawa ya kulevya wanaohusika na muziki wanaongezeka. Cheki Ray C, Chid Benz, Young D, Mangwair na wengine. je, ni kweli biashara inawatajirisha? je, ni kweli kuwa wanaotumia wanaipenda ili watoe aibu na kuongeza nguvu stejini?
Wengine mirungi, wengine bhangi, wengine ulevi wa pombe uliopindukia! KULIKONI?

1. The pressures of the industry!

2. Drugs are available!

3. Injuries/ Depression/ Insomnia!

4. Everybody else is doing it (seriously)

Dalai lama aliwahi kusema tunapo kumbana na misukosuko katika maisha huwa tunareact either kwa kupoteza matumaini au kwa kuamua kupambana
matumizi ya unga mara nyingi ni viashiria vya kupoteza matumaini

When we meet real tragedy in
life, we can react in two ways--
either by losing hope and falling
into self-destructive habits, or
by using the challenge to find
our inner strength.
Dalai Lama XIV

Back
Top Bottom