QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
Awali unaajiriwa kama 'tester' then gari linawaka mazima.TID anamvutishaje KR unga,huyo KR ni mtoto?
Sijasema viongozi wa serikali wakishirikiana na wafanyabishara wakubwa ndio wanaingiza na kusambaza UNGA, kwani kwa kusema hivyo wangenidaka kutumia sheria ya mitandaoHivi Serikali si wangewakamata hawa watumiaji wawapeleke wanakoyapata shida iko wapi hapo ????
Dah!!! Huu Unga kwel kiboko mshikaji (TID) alikuwa Nyamvuto lakini cku izi hutamani hata kumuangalia, Ee mungu tusamehe
Tatizo lilipo kwy Soko letu la bongo flavor kwamba wadau wa Music wengi wanafanya biashara ya madawa ya kulevya. Na ndio maana wasanii wengi wanajikuta wanaingia ktk ishu ya Heroine and Cocaine bila kujua. Unakuta bossi wake anamtuma anampa pesa na kukataa uwezi. Mwisho wa siku ktk kufanya biashara. Sasa siku nyingine unapewa mzigo wajanja wanakudhulumu pesa Wakati ushafahamu mtandao wote wa Heroine and cocaine. Na wengi wasanii walionekana wanaenda tofauti na mabosi wao ndio unakuta. Awampi shoo za kupata pesa mwisho wa siku anakuwa kaingia mtandao wa madawa. Hii Bongo flavour tunadanganyana eti kafanya show kalipwa sjui bei gani. Uwongo mtupu wengi nyuma ya pazia ni biashara ya Heroine and cocaine.
Wengine unakuta kagongea Sigara ambayo omechanganywa na cocaine
Wengine wanajikuta wameingia kutokana..................
mkuu eazy e wanikumbusha the late!Biashara ya mziki na unga ni pete na kidole sio bongo tu
Hapo huyu jamaa kwa kweli umenena! Anasikitisha sana huyu mshikaji kwani nakumbuka enzi zake za wimbo "daz baba nishakuwa mtu mzima mieee"Daz baba huyu ndo kabaki fuvu tu