tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Halafu hivi unajua kama Katema na mfadhili wake bwana QS? halafu kwa maelezo ya Chillah jamaa alikuwa ana mshawishi aingie kwenye biashara ya kuwa punda.
wanapenda kula bata kila cku sasa laana ya kua punda lazma uwe mteja 2......90% ya mapunda ni mateja