tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Halafu hivi unajua kama Katema na mfadhili wake bwana QS? halafu kwa maelezo ya Chillah jamaa alikuwa ana mshawishi aingie kwenye biashara ya kuwa punda.
sepetu?????madam nae teja taarifa z muda hizo.....uzuri wa unga hata ujifiche lazma gari iwake
mateja ni wengi mda ukifika wataonekanasepetu?????
Yeah. ..kinachomuokoa kwakuwa bado ana wafadhili. ..anakula nyeupe ya brazilsepetu?????
Yeah. ..kinachomuokoa kwakuwa bado ana wafadhili. ..anakula nyeupe ya brazil
Matonya huyu huyu! Ila sintashangaa kama na yeye "Gari limewaka" ndio punda wanaoishia!Kweli kabisa kuna ukweli!
Pia huwa nikimuangalia Matonya siku hizi simuelewi kabisa....
Yeah. ..kinachomuokoa kwakuwa bado ana wafadhili. ..anakula nyeupe ya brazil
Shukran sana mkuu,sanaDalai lama aliwahi kusema tunapo kumbana na misukosuko katika maisha huwa tunareact either kwa kupoteza matumaini au kwa kuamua kupambana
matumizi ya unga mara nyingi ni viashiria vya kupoteza matumaini
When we meet real tragedy in
life, we can react in two ways--
either by losing hope and falling
into self-destructive habits, or
by using the challenge to find
our inner strength.
Dalai Lama XIV
Maneno mazuri sana haya. Yana mafundisho makubwa☝☝☝
Yaya ndo nani huyo?Tanzania kuna wasanii sasa wengi njaa kali ndiyo maana yaya anawasotesha sana utazani yeye pekee ndiyo ana median tu
Dah...ndomana kila anayeonja anatoka nduki,Nani aoe teja???!!!!Yeah. ..kinachomuokoa kwakuwa bado ana wafadhili. ..anakula nyeupe ya brazil
List ya wasanii manyoka.
1.Mnyama.
2.Mr green.
3.Macho ya Bwana.
4.Kiuno bila mfupa.
5.Savimbi.
6.Kizunguzungu.
7.Mkwe wa 76.
8.Jeep Rider(unazidi kunifurahisha mkurugenzi)
9.Da Hustler.
10.Benard Paul.
11.Man Dojo.
12.Daz Baba
13.Bibi Bomba 2006.
14.Banyenda 26.
15.Mzee wa shuka la mmasai mtego.
16.Tonya 2
1.TIDList ya wasanii manyoka.
1.Mnyama.
2.Mr green.
3.Macho ya Bwana.
4.Kiuno bila mfupa.
5.Savimbi.
6.Kizunguzungu.
7.Mkwe wa 76.
8.Jeep Rider(unazidi kunifurahisha mkurugenzi)
9.Da Hustler.
10.Benard Paul.
11.Man Dojo.
12.Daz Baba
13.Bibi Bomba 2006.
14.Banyenda 26.
15.Mzee wa shuka la mmasai mtego.
16.Tonya 2
Jina gani haujalielewa hapo? Mbona nimefunguka.funguka unaogopa nn
1.TID
2.???
3.???
4.Ray C
5.Q Chief
6.Rachel
7.???
8.???
9.Ibra Da Hasler
10.Ben Pol
11.Mandojo
12.Daz Baba
13.Wema Sepetu
14.Hamidu/ Nyandu Tozi
15.???
16.Matonya
------------------------------------------1.TID
2.??? --Byser
3.???---Lord Eyez
4.Ray C
5.Q Chief
6.Rachel
7.???-----Young D
8.???------ Ferouz
9.Ibra Da Hasler
10.Ben Pol
11.Mandojo
12.Daz Baba
13.Wema Sepetu
14.Hamidu/ Nyandu Tozi
15.??? -----Babuu wa kitaa
16.Matonya
kuna kipindi nilimuona bagamoyo aisee anasikitisha saaanaDaz baba huyu ndo kabaki fuvu tu