Uchaguzi 2020 Wasanii wanaogombea Ubunge 2020

Tanzania kweli tunaleta utani kwenye vitu vya msingi,hivi shilole awe mbunge kweliiiii!!!!hahaahaaa🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀...ndo maana rasilimali nyingi tunazo,lakini hatuna maendeleo miaka 50
 
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM

2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM

3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM

4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF

View attachment 1487773
Hawa wasanii wameshajua bungeni kuna hela za bure.hao ndio tunaoenda kuwategemea kutuchambulia na kutunga sera za kuiendesha nchi. Bado tuna safari ndefu
 
Wakazi, Ukonga, ACT Wazalendo.
Mwana FA, CCM
 
Hao wasanii wakiupata ubunge tutegemee bunge la mafala lisilo na maamuzi ya kijaja yaani ni maboya watupu
 
Ngoja na mimi nigombee 😒😒
Chezea Hela za bure Weyye.
 
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM

2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM

3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM

4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF

View attachment 1487773
WOIIII ATUITAJII VITUKOBUNGEN
CCM WAMBWBE HARMONIZER HAOO WENGINEE BLAABLAAAA NJAAA
 
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM

2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM

3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM

4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF

View attachment 1487773
KUNA NGO NYUMAYAOO NN INATOAHELAA ZA KAMPENI KAH
 
Back
Top Bottom