Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

Wasanii wanaojieleza vizuri kwenye interview hawa

mtoto wa Nimrod Mkono huwa anaongea vizuri sana na anajielewa kwa kweli

maxresdefault.jpg
 
Juma nature,TID hawa jamaa Interview zao bora hata usifuatilie Wako hovyo kwenye mahojiano
 
HAO WOOTE HAWAMFIKII MKUDE SIMBA AU KITALE JAMAA ANAJUA KUJIELEZEA ALAFU HANA MBWEMBWE ZA ELIMU/KIINGEREZA AU MAFANIKIO YAKE

NAOMBA NIMTETE KIBA.
JAMAA ANAJUA KUONGEA NA YUPO BTIGHT SANA TATIZO LIPO KWA WATANGAZAJI WETU HUWA WANAHOJI MASWALI KUHUSU BEEF NA CHIBU. KITU AMBACHO JAMAA HAPENDI KUHOJIWA KUHUSU MTU MWINGINE NAHISI HATA WW HAPO UKIULIZWA KITU USICHOKIPENDA KILA DAKIKA LAZIMA UTAPOTEZA ILE FURAHA YAKO NA UTAONEKANA NA NYODO...

Mkuu una kelele sana
 
Diamond ni mzungumzaji mzuri na ni kijana anayeonekana ana upeo mkubwa.

Naamini hata darasani angekuwa yuko vizuri endapo angepata fursa nzuri ya kusoma.
Ngabu, nakuunga mkono! Akiwa anahojiwa kuhusu mziki na biashara ya mziki huwa anajieleza vizuri kweli mpaka nashangaa hasa nikirejea historia yake alikotoka! Lugha ya malikia nayo ukilinganisha na Elimu yake huwa nampa heko!

Mwisho wa siku nagundua kuwa yupo level hiyo si kwa Bahati, ni kwa sababu alidhamiria. Sasa wasanii wengine hawajifunzi kwa nini jamaa yupo level hiyo badala yake wanaanzisha bifu naye kwamba wanamzidi! Wanasahau kuwa wao wanapozidi kufanya personal attacks, yeye ame-concentrate kutengeneza pesa na mwisho wa siku gap la kiuchumi na mafanikio lililopo kati yao linazidi kukua kila kukicha!

Ipo siku wataelewa but it will be too late for them to correct!
 
Kumbe nawe ulishamgundua eh?

Dogo yuko vizuri.
 
Vanessa mdee yuko vzr kwenye interview..i always love to see her interviewed
 
mie namkubali shilole tu... karibu interview zote anakua hiigh...
 
na asiye jitambua kwenye interview ni TID
Kuna kipindi alihojiwa na salama.. Siku hiyo aliboa watazamaji mpaka na salama mwenyewe.. Kwanza alikuja ameshalewa(sijui ndo ngada hizo) pili akawa hana cha kuongea zaidi ya kelele tu... Yeye kujisifia tuuu basi.. Ilifika kipindi nikamwona salama ameshammind sema ulegendary wake ndo ukamfanya salama asimpe makavu live but daahhh aliboa sana ile siku !
 
Mr blue na billnas ungewaweka kwenye list yako mzee. Wanajieleza vizuri sana afu hawana mbwembwe kabisa.
 
Back
Top Bottom