Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya wasanii kwenye interview zao wanazofanya wamekuwa wanaheshimu kipindi cha mtangazaji na radio pia hata kama wapo level zingine lakini wanakumbuka walipotoka.
Nitawalist hapa na we utaweka wako pia
1.Professor J
2.Diamond
3.Kala Jeremiah
5.Barnaba
6.Darasa
7.Weusi
8.AY
9,Fid Q
10.Lady Jaydee
Nitawalist hapa na we utaweka wako pia
1.Professor J
2.Diamond
3.Kala Jeremiah
5.Barnaba
6.Darasa
7.Weusi
8.AY
9,Fid Q
10.Lady Jaydee