Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Foby...
Huyu jamaa ana ngoma kali.. yaani zotee ni konki ukiongeza na hii ya juzikati "niokoe "..sema jamaa hapewi promo kubwa..
Ibrahnation....
Huyu jamaa katika watu ambao hawana bahati ni huyu mchizi ila siku hizi ameanza kueleweka na pia wasafi Festival atakuwepo..
nedy music...
huyu mpemba anakuwaga yupo yupo tuu ila jamaa yuko vizuri sanaa yaani konki.. tatizo promo tuu..ile ngoma "nishalewa "Ilibidi iwe wimbo wa taifa sema ndo hivyo yaani...
The mafik....
Katika makundi yaliyopo sasa hivi.. huwezi kuwaacha the mafik.. jamaa wana hits kibao.. Kama dodo. Carola, passenger.. na zingine kibwena yaani.. ila ni promo tuu
Wengine ongezeeni..