Wasanii wanaojua mziki lakini hawapati promo ya kutosha..

Hata huku kwenye social media sio kwepesi hivyo..unadhan hawa akina foby hawapo insta, youtube na fb?
Wakati mwingine huwa naamini ni suala la muda tu..muda ukifika mtu atatoboa tu kikubwa ni kuendelea kufanya kazi nzuri...
Kweli kabisa.. Nani atakufollow ikiwa wewe sio maarufu??
 
Kuna jamaa anaitwa STEVE RNB alikuwa na kibao kikali sana kinaitwa Listen.

Ngoma kali sana na haina viewers youtube...sijui tatizo ni nini
Steve rnb ana wimbo unaitwa listen?? Ngoja niutafute kama ni kweli...

Ila jmaa ni mkali sana
 
Steve rnb ana wimbo unaitwa listen?? Ngoja niutafute kama ni kweli...

Ila jmaa ni mkali sana
Jamaa ni mkali sana....Na cha ajabu,leo Steve akitoa wimbo na Hamisa mobeto naye akatoa... Wa hamisa utakuwa na viewrs wengi zaidi.

Wabongo watu wa ajabu sana
 
BABA_LEVO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…