BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hii ni orodha ya wasanii ambao kwa mwaka huu umekua mzuri kwao, nikimanisha ndio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi..
Namba 10- Le Bron James mchezaji kikapu mahiri mwaka huu kaweka kibindoni Bilioni 193 za kitanzania.
Namba 9 - James Patterson, huyu ni best selling author, kajikusanyia Bilioni 195 za kitanzania.
Namba 8 - Coldplay, kundi mahiri la muziki wamejikusanyia Bilioni 197 za kitanzania.
Namba 7 - Howard Stern, mtangazaji mahiri wa marekani kajikusanyia Bilioni 202 za kitanzania.
Namba 6 - Inaenda kwa The Weekend, mwanamuziki huyu kajikusanyia Bilioni 206 za kitanzania.
Namba 5 - imeenda kwa Christiano Ronaldo kafanikiwa kuweka kibindoni Bilioni 208 za kitanzania.
Namba 4 - Drake, kaweka kiasi cha Bilioni 211 za kitanzania.
Namba 3 - J.K.Rowling, Bilioni 213 za kitanzania.
Namba 2 - imeshikiliwa na Beyonce kajikusanyia Bilioni 235 za kitanzania
Namba 1 kama kawaida anashikilia mbabe mwenyewe Sean " Diddy" Combs na Bilioni 291 za kitanzania.