Wasanii wanaomaliza mwaka wa 2017 vizuri

Wasanii wanaomaliza mwaka wa 2017 vizuri

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Hii ni orodha ya wasanii ambao kwa mwaka huu umekua mzuri kwao, nikimanisha ndio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi..

Namba 10- Le Bron James mchezaji kikapu mahiri mwaka huu kaweka kibindoni Bilioni 193 za kitanzania.
ap-390106484006.jpg


Namba 9 - James Patterson, huyu ni best selling author, kajikusanyia Bilioni 195 za kitanzania.
james-patterson-interview-a-promo.jpg


Namba 8 - Coldplay, kundi mahiri la muziki wamejikusanyia Bilioni 197 za kitanzania.
2016-02-08t014605z1436295781nocidrtrmadp3nfl-super-bowl-50-carolina-panthers-vs-denver-broncos.jpg


Namba 7 - Howard Stern, mtangazaji mahiri wa marekani kajikusanyia Bilioni 202 za kitanzania.
rtr31vwe.jpg


Namba 6 - Inaenda kwa The Weekend, mwanamuziki huyu kajikusanyia Bilioni 206 za kitanzania.
gettyimages-675604656.jpg


Namba 5 - imeenda kwa Christiano Ronaldo kafanikiwa kuweka kibindoni Bilioni 208 za kitanzania.
ronaldo-gettyimages-691941296.jpg


Namba 4 - Drake, kaweka kiasi cha Bilioni 211 za kitanzania.
rtx36xl3.jpg


Namba 3 - J.K.Rowling, Bilioni 213 za kitanzania.
gettyimages-584707648-1.jpg


Namba 2 - imeshikiliwa na Beyonce kajikusanyia Bilioni 235 za kitanzania
gettyimages-634986808-1.jpg


Namba 1 kama kawaida anashikilia mbabe mwenyewe Sean " Diddy" Combs na Bilioni 291 za kitanzania.
gettyimages-675599868.jpg
 
Hilo pozi la Didy kama sijalielewa hivi!?? lol

kwa hiyo Queen B kamtuliza mumewe this time.
Pozi la pesa hilo.. ukiwa na pesa unakaa mapozi ya aina mbalimbali

Naona kamtuliza mumewe kweli ...jay z si unasikia hata show yake ya kutangaza album ya 4.44 zinabuma tiketi zinabaki nyingi watu naona wamemchoka
 
Nafurahishwa sana na efforts za Drake katoka mbali mno huyu jamaa... hata Forbs top 5 humkosi siku hizi.
 
Back
Top Bottom