Nadhani hii ni njia nzuri zaidi..Ujumbe unafika kwa watu wengi zaidi ya yule uliyemkusudia..Yeyote anayejiona anafit kwenye hiyo diss habari inakuwa imemfikia..Btw ni rahisi pia kujisafisha pale unapoona mambo yanakwenda ndivyo sivyoDissing in-directly haimaanishi uoga mara zote. Inaweza kumaanisha umahiri kisanaa, especially in rap. Rap ni sanaa ya majigambo na kejeli/maudhi kwa wapinzani na hata rafiki zako kwa ubora zaidi yao (the art of ridiculing and flossing to your friends or foes, in a smarter way).
Mara nyingi wanaotupa vijembe in-directly hawapendi controversy. Ila mara nyingi ndiyo huwa zinaleta unnecessary drama ambazo zingeweza kuepukika. Cuz ukirusha vijembe indirectly, kila mtu anatafsiri anavyoweza, na wengine hata hawahusiki wanahisi umewagusa. Beef ya Nas na Jay-Z ilianza kwa style hiyo.
Sometimes pia hadhi na class aloyopo mtu, inamzuia kusema anachotaka kusema kwa anayetaka kumwambia moja kwa moja. So sanaa inabidi kutumika.
Nash kadiss hadi tamaduni?Mtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida
Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Huyu MC mwenye VVU amejiZIMA mpaka yeye mwenyeweMtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida
Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Mtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida
Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Na mashogaMtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida
Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Huyu MC mwenye VVU amejiZIMA mpaka yeye mwenyewe
atakuwa hana akili
Na mashoga
Roma Mkatoliki ndo Juma NyossoAmani kwa kaka voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea..jay mo kwa marehemu langa..langa nae akajibu ..
.kaka Voda millionaire waambie washkaji zako waache ushoga na umbeya...
Wakati wakijiuliza kufanya punch line mi nafuruliza kamake hit songs...Jo makin kwa fidq..
Mi ndo juma nyosso inspector ndo john bokko...dogo simjui kamdiss inspector haroun.