Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kwa mtazamo wangu.
1.Wanaodiss direct.
1.Ney wa mitego....kamdiss chidi,zay b,rap,east coast,madee,chidi Benz,zitto etc

2.lady Jay D,.....kadiss clouds,mwana fa,G Habash etc
3.Afande Sele,...huyu kadiss wengi bifu za wivu

4.Madee.....huyu hawezi kunyama akiguswa,kamjibu nay wa mitego na chidi.

5.Nikki mbishi....Ney wa mitego anamwelewa.

6.Inspector Horoun

Wasanii Wanaodiss indirect(waoga).

1.mwana fa.....
2.Fid Q
3.Jay Mo
4.prof j
5.diamond
6.alikiba
 
Dissing in-directly haimaanishi uoga mara zote. Inaweza kumaanisha umahiri kisanaa, especially in rap. Rap ni sanaa ya majigambo na kejeli/maudhi kwa wapinzani na hata rafiki zako kwa ubora zaidi yao (the art of ridiculing and flossing to your friends or foes, in a smarter way).

Mara nyingi wanaotupa vijembe in-directly hawapendi controversy. Ila mara nyingi ndiyo huwa zinaleta unnecessary drama ambazo zingeweza kuepukika. Cuz ukirusha vijembe indirectly, kila mtu anatafsiri anavyoweza, na wengine hata hawahusiki wanahisi umewagusa. Beef ya Nas na Jay-Z ilianza kwa style hiyo.

Sometimes pia hadhi na class aloyopo mtu, inamzuia kusema anachotaka kusema kwa anayetaka kumwambia moja kwa moja. So sanaa inabidi kutumika.
 
Nadhani hii ni njia nzuri zaidi..Ujumbe unafika kwa watu wengi zaidi ya yule uliyemkusudia..Yeyote anayejiona anafit kwenye hiyo diss habari inakuwa imemfikia..Btw ni rahisi pia kujisafisha pale unapoona mambo yanakwenda ndivyo sivyo
 
Mtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida

Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Nash kadiss hadi tamaduni?
 
Mtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida

Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Huyu MC mwenye VVU amejiZIMA mpaka yeye mwenyewe
 
Mtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida

Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake

atakuwa hana akili
 
Wakati mabaga fresh wakikwambia(mabaga fresh ni chombo cha dola wapambe tulizaneni mtakula.Inspekta aHaroun anakwambia Goma linaposonga halihofii nguvu ya dola ..Huku prof J akiwauliza unique sistaz (masista duz midomo ya bata ni mlivyo au mnang'ong'a..nadhani hii ni staili nzuri zaidi kuliko ya Ney ya kutajana tajana majina.
 
Amani kwa kaka voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea..jay mo kwa marehemu langa..langa nae akajibu ..
.kaka Voda millionaire waambie washkaji zako waache ushoga na umbeya...

Wakati wakijiuliza kufanya punch line mi nafuruliza kamake hit songs...Jo makin kwa fidq..

Mi ndo juma nyosso inspector ndo john bokko...dogo simjui kamdiss inspector haroun.
 
Ever heard of subliminals.... Siyo lazima mtu atajwe Jina. Wasanii wakiwa more directly its no more an art.
 
Mtoa mada nahisi humjui Nash Mc..Nash quida

Huyu ameshadiss bongo flavour nzima,Hip Hop,Kingereza,Radio Station Watangazaji mpaka Tamaduni wenzake
Na mashoga
 
Amani kwa kaka voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea..jay mo kwa marehemu langa..langa nae akajibu ..
.kaka Voda millionaire waambie washkaji zako waache ushoga na umbeya...

Wakati wakijiuliza kufanya punch line mi nafuruliza kamake hit songs...Jo makin kwa fidq..

Mi ndo juma nyosso inspector ndo john bokko...dogo simjui kamdiss inspector haroun.
Roma Mkatoliki ndo Juma Nyosso
 
Masogange amuazime tako Dayna Nyange/Roma hizo akili za bange. - Baghdad ft Roma
 
Back
Top Bottom