Hahaha Nash ni tatizo anataka Jamii iliyonyooka ambayo haipo
au tatizo ni zile kush!
Nash kadiss hadi tamaduni?
Ok..Ila binafsi namuona Nash Mc ni msanii wa kawaidaMkuu Nash sometimes anawadiss sana tamaduni wenzake kama one sterio na zaid vile wanatumia kingereza kwenye baadhi ya tenzi zao...
Ok..Ila binafsi namuona Nash Mc ni msanii wa kawaida
Kwa mtazamo wangu.
1.Wanaodiss direct.
1.Ney wa mitego....kamdiss chidi,zay b,rap,east coast,madee,chidi Benz,zitto etc
2.lady Jay D,.....kadiss clouds,mwana fa,G Habash etc
3.Afande Sele,...huyu kadiss wengi bifu za wivu
4.Madee.....huyu hawezi kunyama akiguswa,kamjibu nay wa mitego na chidi.
5.Nikki mbishi....Ney wa mitego anamwelewa.
6.Inspector Horoun
Wasanii Wanaodiss indirect(waoga).
1.mwana fa.....
2.Fid Q
3.Jay Mo
4.prof j
5.diamond
6.alikiba
Zitto naye msani????Kwa mtazamo wangu.

tatizo la Nash mc anaudini kupita kias Mara ajiite maalimNash kadiss hadi tamaduni?
Ndiyo, wa siasaZitto naye msani????