Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Hahaha Nash ni tatizo anataka Jamii iliyonyooka ambayo haipo

au tatizo ni zile kush!

Yaani Nash ndo ile type ya watu wa kupinga kilakitu, kuishi na watu wa vile kazi si ndogo
 
Waambieni sina mkia wa kufyata_Kala Jeremiah.
Huna mkia na utafyata_FA.

Usiwe mjinga ukanipinga, sister P Amefia Wapi_FA
 
Kuna mamcs ,marapa na wasanii wa Hip Hop
Na kuna machizi ambao haiwalipi kama madee wa Tiptop!
 
Kwa taarifa yako nay anaongeza ngoma nyngn inayodc il uandke thread nyngn n wew
 
Hata pacho pia ni nwamba ila anakata viuno

>to mwamba wa kaskazin
 
:I heard you say you back where hav you been U so soft to compare with King Joh Makini -- Joh to Chidi Benz
:Kuandika ni easy hatucopy kwenye vitabu Joh to Fid Q
 
Bongo nzima hakuna diss tracks kama ile ya Anti Virus wakati ule.
 
(Juma Nature)Wanaume Halisi kwa Said Fella & Wanaume Family

Mshike mshike ndege tunduni (tunduni),
sisi wajanja tumekimbia
Mshike mshike ndege tunduni (tunduni),
Waliobaki wataumia
Mshike mshike ndege tunduni (tunduni),
Hatuogopi wakituvamia

Crazy GK(East Coast Team kwa Wanaume Halisi)

Ndege wamekimbia, tunduni mtegoni wameingia (kitamboo)
Nilikuwa nawaangalia, ulimboni wenyewe wametumbukia (Motoo)
Anza kuuchochea na maji usikose kuniinjikia (man sure)
Kisu unaninolea, shingo zao ubaoni kibra wanaangalia!

Dah! Ingawaje nilikuwa Team Wanaume lakini dis la GK lilikuwa na mashairi yaliyoshiba ambayo nitayapa respect my all life!!
 
Mkuu Nash sometimes anawadiss sana tamaduni wenzake kama one sterio na zaid vile wanatumia kingereza kwenye baadhi ya tenzi zao...
Ok..Ila binafsi namuona Nash Mc ni msanii wa kawaida
 
Kwa mtazamo wangu.
1.Wanaodiss direct.
1.Ney wa mitego....kamdiss chidi,zay b,rap,east coast,madee,chidi Benz,zitto etc

2.lady Jay D,.....kadiss clouds,mwana fa,G Habash etc
3.Afande Sele,...huyu kadiss wengi bifu za wivu

4.Madee.....huyu hawezi kunyama akiguswa,kamjibu nay wa mitego na chidi.

5.Nikki mbishi....Ney wa mitego anamwelewa.

6.Inspector Horoun

Wasanii Wanaodiss indirect(waoga).

1.mwana fa.....
2.Fid Q
3.Jay Mo
4.prof j
5.diamond
6.alikiba

hii nimeikuta kwenye Instagram acc ya nay

naytrueboyMungu akunyimi vyote lazima atakupa chako, Demu anasura mbayaa lakini ana Bonge la Tako.
BongoMovie Imekufa wamebaki kuuza Sura, Wote wanataka Kuimba Kama Shilole Snura.
Ray Kigo kawa Mkongo Mpaka Leo anaishi kwao, hela za kuuza Movie zote ananunua Mkorogo.
Kuna Nivar super Marioo ana Gari la Milioni Kumi ajawai ata miliki Getto, anaishi kwa Mademu wakiachana Gari ndio Geto.
Kuna Wasanii Mapunga walio ponzwa na tamaa.....................
 
Bwana mdogo ongea na mimi,
Sio unawasema watu,
Wataje kwa majina,
Ka kweli unafanya hip hop,...TRUEBOI
 
Nay wa Mitego anawapaka sana
Bongomovie
Wanasiasa
Bongoflava
Na wengne kibao
 
Kwa mtazamo wangu.
1.Wanaodiss direct.
1.Ney wa mitego....kamdiss chidi,zay b,rap,east coast,madee,chidi Benz,zitto etc

2.lady Jay D,.....kadiss clouds,mwana fa,G Habash etc
3.Afande Sele,...huyu kadiss wengi bifu za wivu

4.Madee.....huyu hawezi kunyama akiguswa,kamjibu nay wa mitego na chidi.

5.Nikki mbishi....Ney wa mitego anamwelewa.

6.Inspector Horoun

Wasanii Wanaodiss indirect(waoga).

1.mwana fa.....
2.Fid Q
3.Jay Mo
4.prof j
5.diamond
6.alikiba
Zitto naye msani????
 
Back
Top Bottom