Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Don't bother kuna diss pale znaenda tamandun especially kwa Nikki mbishAmani kwa kaka voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea..jay mo kwa marehemu langa..langa nae akajibu ..
.kaka Voda millionaire waambie washkaji zako waache ushoga na umbeya...
Wakati wakijiuliza kufanya punch line mi nafuruliza kamake hit songs...Jo makin kwa fidq..
Mi ndo juma nyosso inspector ndo john bokko...dogo simjui kamdiss inspector haroun.
HahahahahaNash kadiss hadi tamaduni?
Juzi kamdiss Maguguli kwenye siasa.Zitto naye msani????
Mkuu kwa rap ya bongo ni kweli hakuna diss kama ya antvirus....Bongo nzima hakuna diss tracks kama ile ya Anti Virus wakati ule.
Hahahahha kawa Neema wa mitegoJuzi kamdiss Maguguli kwenye siasa.