Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Wasanii wanaoongoza kudiss wenzao

Amani kwa kaka voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea..jay mo kwa marehemu langa..langa nae akajibu ..
.kaka Voda millionaire waambie washkaji zako waache ushoga na umbeya...

Wakati wakijiuliza kufanya punch line mi nafuruliza kamake hit songs...Jo makin kwa fidq..

Mi ndo juma nyosso inspector ndo john bokko...dogo simjui kamdiss inspector haroun.
Don't bother kuna diss pale znaenda tamandun especially kwa Nikki mbish
 
ah ah umenikumbusha enzi hizoo undergroung
chino XL alimdiss Tupac, matokeo yake Tupac nae akamchana kwenye hit song ya hit em' up
dogo akawa juu na mwisho wa Siku amebaki kwenye historia si kama mwanamuziki bali ni miongoni watu waliodiss Tupac
 
Bongo nzima hakuna diss tracks kama ile ya Anti Virus wakati ule.
Mkuu kwa rap ya bongo ni kweli hakuna diss kama ya antvirus....
Labda diss za ney.. Nikkmbishi.. Nash... Kwa mbaali.
Baadhi ya mistar ya vinega

Ukweli upo wazi ruge mwizi
AntVirus ni dawa zaidi ya dozii
.Tena mikosi hii ni zaidi ya njozii
Ruge atoke au clouds we close


Watoto wa tht maziwa hutowagusa
Bonge la kinega malaya usie na heri
Hata john komba umemtapeli
We ndo feki nigger
usie na mfano wakigwa
Shukuru amani bongo
Marekani bullet ungepigwa
Achana na madam johniii unaempaga koniiii.... Hahaha
 
ila kiba alinchekesha alivosema home anafuga mbwa anaitwa Ruby
 
eti dis ya wivu hahaha.....pia si kudis kiuoga ni umahiri waakili na busara
 
Back
Top Bottom