Shukrani mkuu!Pia 2pac ni moja ya wasanii walio acha kazi nyingi zikiwa hazijatoka, zingine zilitoka baada ya kuwa amefariki.
Mfano hai ni huu aliomshitikisha Krayzie - 2pac ft. Krayzie Bone- Untouchable , Umetoka 2006, (Miaka kumi baada ya kifo cha 2pac)
Jamani mpaka billnas daahSitanii, na mwalim wake alikua bilnas!!! Muda utaongea!!!
Sidhani Mimi nimekula leo kutwa Mara 3Write your reply...Hivi hii nchi kuna mtu hali unga
Aisee! Kumbe unasikia ila za kuambiwa........naskia Bon mwaitege anakula Sana ngano 🤓
yule dogo very posible..anakauka maji mwiliniJamani mpaka billnas daah
Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti hatareeee...u made my dayChid Benz tangu aseme ataimba na 2pac nilijua yule anatumia hadi Vumbi sio unga tu.
Wanjificha sana ila muda utawaumbua,yule dogo very posible..anakauka maji mwilini
Uliza wanaotumia bange tujaze kurasa hapa
Acha my dream woman hatumii,mlutheri swaafiiiNandy!!!
Kuna mama mmoja mkwe we Bob kaimba naye wimbo flanOh sawa nimeelewa.
Bange tanzania nzima tunavuta wabishe tu wao
Mbona unachangia na kujijibu mwenyewe?!Naungana na ww mkuu anaevuta ndio anajua maana anakutana na watu ambao asievuta haelewi nini unaongea hapa[emoji2][emoji3][emoji16][emoji3577]