Wasanii wanaotumia "Unga"

Wasanii wanaotumia "Unga"

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Imekuwa ni tabia ya Wasanii wengi kutumia Ngada wanapopata umaarufu hali inayopelekea vipaji vyao kuzimika kama mshumaa jangwani.
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi za Msanii darasa kuwa katika kundi hilo, ukiacha huyo wapo pia akina Chidi, Kiuno bila mfupa na yule wa Nibebe. Ukiachana na hao ni Msanii yupi unamjua anatumia hiyo kitu?
 
Oh sawa nimeelewa.
Anaweza kwenda kwenye library ya 2pac akapewa vipande vya nyimbo anazotaka kwa makubaliano maalumu then anapeleka studio anaingiza vocal zake wimbo ushakamilika.

Siyo lazima wote wawe hai ilimradi kuna audio za mlengwa!
 
kuna nyimbo hivi karibuni za 2pac na BIG wanachana mistari mipya sio waliyowahi kurekodi hivi hii inakuwaje?
 
kuna nyimbo hivi karibuni za 2pac na BIG wanachana mistari mipya sio waliyowahi kurekodi hivi hii inakuwaje?
Ndo kama hivyo nilivyoeleza hapo juu mkuu, ni matumizi mazuri ya technology kwenye music hata kama watu hawako hai kikubwa maudhui ya nyimbo zao zikiwekwa pamoja viendane
 
2pac akapewa vipande vya nyimbo anazotaka kwa makubaliano maalumu then anapeleka studio anaingiza vocal zake wimbo ushakamilika.

Siyo lazima wote wawe hai ilimradi kuna audio za mlengwa!
Pia 2pac ni moja ya wasanii walio acha kazi nyingi zikiwa hazijatoka, zingine zilitoka baada ya kuwa amefariki.

Mfano hai ni huu aliomshitikisha Krayzie - 2pac ft. Krayzie Bone- Untouchable , Umetoka 2006, (Miaka kumi baada ya kifo cha 2pac)
 
Back
Top Bottom