"Wasanii wanatumika kama toilet papers"- King Crazy GK

"Wasanii wanatumika kama toilet papers"- King Crazy GK

Prezidah

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
750
Reaction score
182
Katika kipindi cha Mkasi kinachorushwa kila siku ya jumatatu saa 3:30, mkongwe wa Bongo fleva nchini kutoka kundi la East Coast Team GK amesema wasanii wengi Nchini wanatumiwa na wanasiasa kama toilet paper jambo linalochangia kushusha hadhi ya wasanii na industry nzima ya sanaa hiyo.

Amesema pamoja na Bongo fleva kukua kwa kiwango kikubwa tofauti na kipindi cha nyuma na kupata mwitikio chanya kwenye jamii, bado suala la kutumika vibaya wakati wa Uchaguzi ni changamoto mojawapo.

Mytake: Nadhani ni vyema wasanii wakajikita kuhimiza utaifa zaidi na kipindi hichi cha Uchaguzi watunge nyimbo za kuelimisha jamii kuhusu uchaguzi na maendeleo yao kwa ujumla. Is this an awkward mind or wise thinking. Unadhani kuna haja ya msanii kuonesha hadharani marengo wake Kisiasa.
 
Kwa hiyo na yeye siasa ndio imemshusha ai?????
 
Mfalme wa machizi gwamaka kahaula a.k.a king crazy gk = awapa somo wasanii wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom