Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

HIP HOP
1. NICAS JOHN MACHUCHE (MBISHI)
2 DIZASTA (The story Teller)
3.FID Q
4.ONE THE incredible (UNO)
5.PROFESA JAY
6.YOUNG LUNYA
7.YOUNG KILLER
8.SONGA
9.SOLO
10.STREO (SINGA SINGA)
Lunya anafanya nini hapo? toa haraka sana weka Ngwair
 
Wewe ni mwendawqzimu NIKI WA PILI duh fuatilia taarabu tu
 
Wewe ni mwendawqzimu NIKI WA PILI duh fuatilia taarabu tu

Unaweza kujadili bila kutumia lugha ya MAUDHI?

Unajua maana ya lyrics....... tuanzie hapo kwanza
 
SUGU huyu ni special, sitaki kumkosea heshima kumuweka kwenye list

1.Profesa Jay
2. Fid Q
3. Jay Mo
4. Solo Thang
5. Mwana Fa
6. Afande Sele
7. Joh Makini
8. Ngwea
9.Chid Benz
10. ROMA

BONUS: Nikki Mbishi
 
List ya wavuta bange wa Tamaduni sijui
 
SUGU huyu ni special, sitaki kumkosea heshima kumuweka kwenye list

1.Profesa Jay
2. Fid Q
3. Jay Mo
4. Solo Thang
5. Mwana Fa
6. Afande Sele
7. Joh Makini
8. Ngwea
9.Chid Benz
10. ROMA

BONUS: Nikki Mbishi
Afande,solo,,,Joh makini...juu ya Ngwair...[emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
1. Afande sele
2. Prof Jay
3.Chid benz
4. Roma
5. Stamina
6. Ngwaire
7. FidQ
8. Joh Makin
9. Jay mo
10 Solo Thung
 
Sina hakika kama wako juu ya Ngwea ila atleast ni lazima wawe kwenye top 10 yangu, ila nawewe umenishangaza kumuweka Ngwea juu ya Profesa Jay, ni utovu wa nidhamu [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]J wa mituringa...
 
1. Afande sele
2. Prof Jay
3.Chid benz
4. Roma
5. Stamina
6. Ngwaire
7. FidQ
8. Joh Makin
9. Jay mo
10 Solo Thung
Huyo jamaa namba moja akifatiwa na wapili sijaona bado wa kuwalinganisha nao ,Kila kizazi kina bahati yake kama ninavyojivunia kumuona Gaucho,Messi na Ronaldo kwenye mpira ndivyo najivunia pia kumsikiliza Afande Sele na Prof Jay kwenye muziki wa bongo.
 
Saigon Je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…