LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
 
Kwa nini umewaza na kutueleza hivyo?Na kwa nini fungu litengwe kwa ajili yao na wasioneshe uzalendo kwa kufanya kazi for free?
 
Hili kundi limekua bega Kwa bega na Chama wakati wote hivyo watengewe fungi maalum kama shukrani.
**Steve Nyerere, Dotto Magari, Lamata, Sema, Kajala, Mrs Pididi na Konde waongoze kundi
 
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
hakuna haja,
hamasa inayoonekana kwenye kujiandikisha kwajili ya Uchaguzi wa serikali za mitaa na shauku kubwa sana ya wananchi katika kuboresha daftari la kupigia kura inatosha..

TAMISEMI na Tume Huru ya Uchaguzi nchini wamefanya kazi kubwa na nzuri sana kwenye eneo hilo.

Nadhan ni vizuri wasanii waelekezwe kwenye kuhamasishe upandaji miti nchi nzima na matumizi ya nishati salama ya kupikia itapendeza zaidi 🐒
 
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.

..CCM wanapokea RUZUKU toka serikalini BILLIONI 13 kila mwezi.

..wakitenga BILLIONI 3 kwa ajili ya wasanii sio jambo baya.
 
Back
Top Bottom