Wasanii waungana kutoa wimbo wa kuelimisha jamii kuhusu Corona

Wasanii waungana kutoa wimbo wa kuelimisha jamii kuhusu Corona

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
April 4, 2020

CORONA : WASANII WAUNGANA STUDIO KWA MARCO CHALI KUTOA NYIMBO YA KUELIMISHA JAMII

Wanamuziki wakongwe wameamua kuingia studio ili kutengeneza wimbo maalum kuelimisha umma juu ya.janga la gonjwa la Covid - 19.



Source : millard ayo
 
Kuna chalii nipo nae nyumba ya jirani yangu katoa bonge la wimbo wa Corona, lakini Studio hajaupeleka
 
Back
Top Bottom