Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
Hawa vijana wameletwa na kina Diamond labda tumuongeezee na hizi za Prof. JayYaani best story telling song iwe Usiniseme kama napenda kula mayai? Kweli?? Are you kidding or something??..Kwa hiyo wakati Niga jay anatoa chemsha bongo na zali la mentali wewe ulikua hujazaliwa au hujaja mjini? ..
siku hizi wamebase kweny midundo na video1. Prof J ft Ferooz sikumbuki jina lanyimbo
2. Mwana Fa hakuonekana anabinti
3. Soggy Dog hii story
4. Mandojo na domokaya
5. Mh Temba side mnyamwenzi nk
6. Crazy gk sauti ya manka
Wako wengi sema saiz game imebadilika na utungazi wa mashairi umebadilika sana.
Ila bongo fleva za zaman tamu mazee tuache utaniHonestly ferooz katika story telling aheshimiwe kuanzia boss,wema wangu umeniponza n.k
Usingeanza na Jebby ningelia kwa sauti
ndio biashara ipo huko saiz.siku hizi wamebase kweny midundo na video
Barua-Daz nundaz
Bila kumtaja Jay Moe mnafeli.
Maisha ya Bording.
Bishoo.
Story 3.
Mleta mada kasema ongezea na wewe msanii wako lakini wengi badala ya kuongezea wameanza kumshambulia yeye sasa sijui amekosea wapi
Kwa mimi kwa wasanii waliobaki story teller ninae muona ni "Best Naso" huyu mchizi wa Mara kila ngoma yake ni story
Eg.Mamu wa dar
Mbona nimemtaja
Peace Amorre - Mermaid Tayana.Hope mko poa tuendelee kudadavua..
Ingawa wengi tumezoea kuona story teller wengi ni wafanyaji wa miondoko ya kufoka (hip hop) hasa kule USA, na hata hapa Bongo kuna watu walijaribu kuifanya sanaa hii lakini hawakuwa na consistency.
Mfano mtu kama JAY MOE alikuja vyema na vibao kama STORY 3 na MAISHA YA BOARDING ambazo zilikuwa ni pure story telling rap songs.
Toka hapo kwa kweli cheo hicho nampa ALI KIBA ambaye nyimbo zake karibu zote ni story telling in short He is the best storyteller of all time kwa hapa Bongo.
Fuatilia nyimbo zifuatazo utaelewa
- MACMUGA
- YA KARIM
- DUSHELELE
- USINISEME
- MY EVERYTHING
Na nyinginezo dondosha, story teller wako mkali.
Karibuni.
Yuko na Daz baba dizaini wife kampa kadi ya mwaliko wa harusi(Barua)Yeah pia kuna ule anaimba amelewa
Mi ndo naisikilizaga kwa kiasi kikubwa,za siku hizi zinanishinda.mipasho tu na mapenzi........zamani Mikasa,mapito ya kina q chief na afande sele,vituko vya uswahilini tulivipata kupitia ata nyimbo,siasa zilizungumzwa huru,za kutendwa,banger za kufa mtu.yaaaan ilikua wewe tu una vibe lipiIla bongo fleva za zaman tamu mazee tuache utani
Ishu ni story tellers hata kama unaimba mchurikuChizzoDrama, Alikiba ni mwana hip pop au mbana pua
umetishakisa cha boss + barua > Daz nundaz
salome > Dully
siri yangu > lady j dee
zari la mentali > prof jay
starehe > Ferooz
Rita > Marlow
sitaki demu + mzee wa busara> Juma nature
kafia gheto > H machozi
kibanda cha simu > Soggy dog
gheto + mikasi + she got 1 > Ngwea
sauti ya manka > Crazy G K
mume wa mtu > Dataz + Joah
swahiba > Jebby
Mpenzi jini > Z Anto
hakuonekana na binti > FA
Barua > Bushoke
Hatuonani > Banana
ayeee wengi, sema cku hizi tunazikosa
sana za hivi
DIAMOND PLATINUMZ BABA LAOHope mko poa tuendelee kudadavua..
Ingawa wengi tumezoea kuona story teller wengi ni wafanyaji wa miondoko ya kufoka (hip hop) hasa kule USA, na hata hapa Bongo kuna watu walijaribu kuifanya sanaa hii lakini hawakuwa na consistency.
Mfano mtu kama JAY MOE alikuja vyema na vibao kama STORY 3 na MAISHA YA BOARDING ambazo zilikuwa ni pure story telling rap songs.
Toka hapo kwa kweli cheo hicho nampa ALI KIBA ambaye nyimbo zake karibu zote ni story telling in short He is the best storyteller of all time kwa hapa Bongo.
Fuatilia nyimbo zifuatazo utaelewa
- MACMUGA
- YA KARIM
- DUSHELELE
- USINISEME
- MY EVERYTHING
Na nyinginezo dondosha, story teller wako mkali.
Karibuni.