mandunda
Member
- Jul 20, 2019
- 81
- 66
Huyo Temba mpaka leo anapiga hizo ngoma najua ngoma yake ya "mtaalam wa dar" kaitoa juzijuzi tu yani kiufupi mi ngoma hizi za storytelling yani nazipenda1. Prof J ft Ferooz sikumbuki jina lanyimbo
2. Mwana Fa hakuonekana anabinti
3. Soggy Dog hii story
4. Mandojo na domokaya
5. Mh Temba side mnyamwenzi nk
6. Crazy gk sauti ya manka
Wako wengi sema saiz game imebadilika na utungazi wa mashairi umebadilika sana.
Sent using Jamii Forums mobile app