ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Wako huru kuhama, kwenda kokote, vyovyote. Tatizo ni nini? Nawe uko huru hivyohivyo. Kama wako wasita kuutumia, hilo lako?Msiwaamini sana hawa wasanii..
Wanajali zaidi matumbo yao..
Hata wema uchaguzi ujao hautafanyika akiwa Chadema.. Mtaifufua hii post!
Hayo maneno hata mwandoshya alivyopigwa uwembe dom, aliyaongea , kwa hiyo si mageni masikioni mwetu.Mmh, me nashangaa sana mnavoshupalia swala la wema kuhama ccm, wamihama wangap waliokuwa mpaka na vyeo vyao ccm na ccm bado iko ngangar mpaka leo! Itakuwa wema ambae hajawah kuwa hata mjumbe wa nyumba kum? Kaamuulizen kingunge atawaambia
Hilo povu?Wema asepe tu,shida ya dada zetu vyama wao kwao ni kama "khanga" anabadilisha kwa siku mara tatu.
Huwa sipendezwi sana na watu wanaoniquote bila kujua "mantiki" ya kile nilichoandika na wao kujiandikia vitu vingine tofauti kabisa!Wako huru kuhama, kwenda kokote, vyovyote. Tatizo ni nini? Nawe uko huru hivyohivyo. Kama wako wasita kuutumia, hilo lako?
na nyie uwa mkipokea mna maana gani?Hawajui kupokea pokea watu kuna maana ipi,endeleen kupokea pokeen sana mtapokea na wasiopokelewa
Nendeni mkamdai Kikwete .CCM sasa hivi njaa imezidi kwa kweli chama hakisomeki kabisa
Wacha uongo, hiyo darubini mbona haijanasa ben wa saanane yuko wp??Chadema ina macho makali kuliko ya Tai , tumeshaweka kikosi huru cha darubini mkuu , shaka ondoa .
Mbowe wakati wa kumpokea lowasa alisema lowasa ataleta wanachama wapya Chadema milioni 2 toka CCM walishakuja?Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale wanachama wa CCM kujumuisha bongo moviez na Mziki. Ni wale ambao kwa kiasi kikubwa walishiriki kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015.
Sababu kuu ya wao kufikia maamuzi hayo kutoridhishwa na jinsi ambao wenzao wanaadhibiwa kwa tuhuma za kujihudisha na Madawa ya kulevya bila ya kua na ushahidi tena kwa kuwadhalilisha hadharani bila kufuata taratibu za kisheria. Sababu nyingine wamedai kutelekezwa na chama chao mama ambacho walikipa nguvu kwa kiasi kikubwa wakati wa kampeni na hata wengine kutotimiziwa madeni yao hivyo hawaoni faida kuendelea kubaki mahali pasipo na shukrani.
KWAANINI CHADEMA WAWE MAKINI?
Inasemekana kua ndani ya kundi hilo kuna wale wasanii ambao walituhumiwa kulipwa tshs million 2 kila mmoja ili kunogesha ile press ya kijana mpambanaji wa Madawa ya kulevya, swali la kujiuliza kama kweli walilipwa mil 2 kila moja, je wameshavuta halafu wanasepa au kuna mchezo unachezwa ili kufumba hilo suala la mgao wa pesa hizo kuepuka kumtia mtu aibu juu ya uhalisia wake na nia yake ya kupambana na madawa?
Hivyo hilo suala CHADEMA katika kuwapokea wageni wawe makini sana, isijekua ni mafuriko ya msimu tu.
Mwehu tu ndio ataona umakini wa chadomoChadema ina macho makali kuliko ya Tai , tumeshaweka kikosi huru cha darubini mkuu , shaka ondoa .
Mbowe mpiga dili tu......kwa edo alilamba mpunga mrefu, kwa wema papuchi itahusika!Mbowe wakati wa kumpokea lowasa alisema lowasa ataleta wanachama wapya Chadema milioni 2 toka CCM walishakuja?
Halafu 2020 kama kawaida mnapigwa tenaChadema ina macho makali kuliko ya Tai , tumeshaweka kikosi huru cha darubini mkuu , shaka ondoa .
Hivi CDM ndio limekuwa chaka la wachumia tumbo, wabwia unga na wauza sembe?I don't think they are so blind.Wananchi sio vipofu na wajinga wanaona.Labda kama they don't dream of going to Magogoni.Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale wanachama wa CCM kujumuisha bongo moviez na Mziki. Ni wale ambao kwa kiasi kikubwa walishiriki kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015.
Sababu kuu ya wao kufikia maamuzi hayo kutoridhishwa na jinsi ambao wenzao wanaadhibiwa kwa tuhuma za kujihudisha na Madawa ya kulevya bila ya kua na ushahidi tena kwa kuwadhalilisha hadharani bila kufuata taratibu za kisheria. Sababu nyingine wamedai kutelekezwa na chama chao mama ambacho walikipa nguvu kwa kiasi kikubwa wakati wa kampeni na hata wengine kutotimiziwa madeni yao hivyo hawaoni faida kuendelea kubaki mahali pasipo na shukrani.
KWAANINI CHADEMA WAWE MAKINI?
Inasemekana kua ndani ya kundi hilo kuna wale wasanii ambao walituhumiwa kulipwa tshs million 2 kila mmoja ili kunogesha ile press ya kijana mpambanaji wa Madawa ya kulevya, swali la kujiuliza kama kweli walilipwa mil 2 kila moja, je wameshavuta halafu wanasepa au kuna mchezo unachezwa ili kufumba hilo suala la mgao wa pesa hizo kuepuka kumtia mtu aibu juu ya uhalisia wake na nia yake ya kupambana na madawa?
Hivyo hilo suala CHADEMA katika kuwapokea wageni wawe makini sana, isijekua ni mafuriko ya msimu tu.
Kwani dada yako hatombwi?tena unaeza kuta anapigwa na wanuka jasho.tumia akili!...Mbowe mpiga dili tu......kwa edo alilamba mpunga mrefu, kwa wema papuchi itahusika!
Yaani kabinti kadogo kanawatoa povu hivi?kweli mmeishiwa,na jinsi jamaa hana mvuto kwa watu 2020 kazi mnayoHivi CDM ndio limekuwa chaka la wachumia tumbo, wabwia unga na wauza sembe?I don't think they are so blind.Wananchi sio vipofu na wajinga wanaona.Labda kama they don't dream of going to Magogoni.
mbona ninyi mliwatumia kwenye kampeini zenu za mwaka 2015wapiga kura sio wasanii,
kura hupigwa na wananchi