Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hamna watu waliotuumiza kama wasanii mwaka 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana iliweza kumuona babu duni anafaa ikamsajili kisha akawaita kambale[emoji3] [emoji3] [emoji3]Chadema ina macho makali kuliko ya Tai , tumeshaweka kikosi huru cha darubini mkuu , shaka ondoa .
Darubini Kali inayoshindwa kumwona Ben alipoChadema ina macho makali kuliko ya Tai , tumeshaweka kikosi huru cha darubini mkuu , shaka ondoa .
Wamejitambua ila wewe bado hujajua nini kinakuweka huko
Haswaaaaaaalie weka thamani sawa ya kura kwa watanzania alikosea sana.
haiwezekani bendera fata upepo, mtu asiye na uwezo wa kufikiria kura yake kuwa na thamani sawa na anayefikiria.
hao wasanii ni bendera fata upepo (kama ni kweli) maana hawajui nini kinawapeleka huko zaidi ya kumfata wema
Hivi msanii akiwa ccm ni sawa akienda upinzani ni shida, mi nadhani mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote maana mtaji wa chama ni wanachamaDemokrasia
Hahahaha!! Hawana baraka za Mungu!!! Ktk madaraka yao.CCM sasa hivi njaa imezidi kwa kweli chama hakisomeki kabisa
Umeandika ndefu lakini pumba tupu ! Hivi kwa namna polisi wanavyotumikishwa kukamata wapinzani unataka tufanyeje ?Kwa MTU mwenye busara ni kuweka mzani na kupima muenendo wa vyama vya upinzani na uangalie trend yake. Vimewrka agenda ya Ku attack Serikali kama ndio kipaumbele chso. Hakuna program ya kuviendeleza vyama hivi, kuimarisha Mikoa na Wilaya na kuunda matawi mengi ya vyama hivi kwenye ngazi ya chini.
Wamejaribu kuunda UKAWA ambao ungeunganisha juhudi zao za mapambano , wrote ni mashahidi Ukawa umekuwa Ukata. Mheshimiwa Mbatia aliekuwa msemaji mkuu wao kafifia kabisa. CUF walio kuwa ndio Patna wa Karinu kabisa na Chadema nao, wamesambaratika. Na kwenye uchaguzi ulio pita wa udiwani hakukuwa na umoja, kila chama kilisimama peke Yake na kuifanya CCM ipate land slide victory. Kwa matukio haya tunauangalia Upinzani wa kweli has a upo? Au ni kuvizia kesi kujitegeza washikwe ionekane kama ni upiganiaji wa Uhuru na demokrasia? Baadhi ya watu wameiita Mandela style. Juhudi za Mandela zilikuwa kuondoa ubaguzi wa Rangi na kuleta Uhuru wa kweli South Africa. Tofauti na mbinu za upinzani nchini.
Sasa kama vyama hivi vimeshindwa kuungana kisawasawa, vimeshindwa kujiimarisha vyenyewe tunauna NCCR chalk, CUF tia maji tia maji, Chadema Baada ya kuondoka mpiganji wa kweli Dr Slaa nayo muda mwingi IPO kwenye kesi, unajiuliza hivi kweli ni sahihi kujitumbukiza kwe jahazi linalo elekea kuzama? Tuache ushabiki kwakweli vyama hivi vya upinzani viliendelea kujiendesha kama vinavyo Fanya sasa, itwachukua muds mrefu kuitoa CCM madarakani. Rudini kambini mjipange upya!
Aisee chadema hakuna tai wala sungura.Chadema ina macho makali kuliko ya Tai , tumeshaweka kikosi huru cha darubini mkuu , shaka ondoa .