Kwa MTU mwenye busara ni kuweka mzani na kupima muenendo wa vyama vya upinzani na uangalie trend yake. Vimewrka agenda ya Ku attack Serikali kama ndio kipaumbele chso. Hakuna program ya kuviendeleza vyama hivi, kuimarisha Mikoa na Wilaya na kuunda matawi mengi ya vyama hivi kwenye ngazi ya chini.
Wamejaribu kuunda UKAWA ambao ungeunganisha juhudi zao za mapambano , wrote ni mashahidi Ukawa umekuwa Ukata. Mheshimiwa Mbatia aliekuwa msemaji mkuu wao kafifia kabisa. CUF walio kuwa ndio Patna wa Karinu kabisa na Chadema nao, wamesambaratika. Na kwenye uchaguzi ulio pita wa udiwani hakukuwa na umoja, kila chama kilisimama peke Yake na kuifanya CCM ipate land slide victory. Kwa matukio haya tunauangalia Upinzani wa kweli has a upo? Au ni kuvizia kesi kujitegeza washikwe ionekane kama ni upiganiaji wa Uhuru na demokrasia? Baadhi ya watu wameiita Mandela style. Juhudi za Mandela zilikuwa kuondoa ubaguzi wa Rangi na kuleta Uhuru wa kweli South Africa. Tofauti na mbinu za upinzani nchini.
Sasa kama vyama hivi vimeshindwa kuungana kisawasawa, vimeshindwa kujiimarisha vyenyewe tunauna NCCR chalk, CUF tia maji tia maji, Chadema Baada ya kuondoka mpiganji wa kweli Dr Slaa nayo muda mwingi IPO kwenye kesi, unajiuliza hivi kweli ni sahihi kujitumbukiza kwe jahazi linalo elekea kuzama? Tuache ushabiki kwakweli vyama hivi vya upinzani viliendelea kujiendesha kama vinavyo Fanya sasa, itwachukua muds mrefu kuitoa CCM madarakani. Rudini kambini mjipange upya!