GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanini Wasanii wengi ( japo siyo wote ) hasa wa Nyimbo / Waimbaji ( wa Bongo Fleva ) wanaotoka maeneo ya Kinondoni na Ilala haka ' Kamchezo ' kabaya kanakochezwa na ' Wanaume ' tupu katika mahala pa ' maficho ' wanakapenda sana kuliko Wasanii wenzao karibia wote wanaotokea Temeke?
Kuna Shetani gani anatawala sana pande za Kinondoni na Ilala hadi Vijana wetu nao wameamua sasa kuchukua ' majukumu ' ya Kipekee ambayo kimsingi yameandaliwa tu kwa ' Jinsia ' nyingine tofauti kabisa na waliyonayo Wao?
Nawasilisha.