Nina Dada yangu, alinisimulia aliendaga club moja, maeneo ya masaki (jina limenitoka ),aliwaona lundo la mashoga wamevaa nguo za kike, makeup mpaka viatu na nina mwanangu mmoja aliendaga bills wakati anaondoka alikutana na shoga la kiarabu kavaa tight ya kike alafu imeshuka kidogo bikini inaonekana yaani kwa kifupi hali mbaya mm nakumbuka kipindi naenda chuo shoga hapa mtaani alikuwa mmoja, lkn baada ya kumaliza chuo ,jamaa zangu wananipa data za mtaa wapo kama saba, alafu mmoja kaungua ila hela anayo, basi anausambaza kwa wale wenye njaa na nimepewa list ya aliyotembea nao hapa mtaani ni wengi vijana, waume za watu mpaka wazee yaani list ndefu ,mm mwenyewe nimeshangaa