Wasanii wengi (wa kiume) wana sura ngumu, vipodozi na make ups vinawabeba

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Jana kwenye msiba wa Masogange (R.I.P) nilipata kuwaona wasanii wengi wakiwa nje ya studio za kufanyia shooting.
Wengi walikuwa na muonekano wao wa asili usioboostiwa na make ups.
Wengi kwa kweli walionekana kuwa na sura ngumu sana tofauti na tunavyowaonaga kwenye videos zao.
Mfano Alikwiba, alionekana ana sura ngumu kuliko hata Remi Ongala.
Duh! Nimeshangaa sana. Kumbe wasanii hawana u HB wowote. Make ups tu ndio zinawabeba kwa sana.
 
Aisee pole yao kwa walionekana
 
Aisee pole yao kwa walionekana wanasura zao za asili
 
Usiwaige hao ndio maana wanaitwa wasanii,kila kitu chao ni usanii mtupu...
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema Best Naso ana sura ngumu? Acha maskhara aisee!
 
Camera effects baba, amna mtu mbaya instagram huko. Kila mtu anaonekana asali ya warembo. Picha linaanza ukutane nae live bila chenga ndani jua la utosi la bongo
 
Joowzey pengine wewe utanisaidia, wengi nimewauliza hawanijibu hilo neno humu if nalo ni "PM"hata wewe umelitumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…