Wasanii wengi (wa kiume) wana sura ngumu, vipodozi na make ups vinawabeba

Wasanii wengi (wa kiume) wana sura ngumu, vipodozi na make ups vinawabeba

Tunda nilimwona dah haha kama kibibi, haya maisha bhana
 
Mmmmh. Kumbe ulikua na wewe unaona wanaume wenzio mahandsome eeeh
 
Kwa mwanaume kuwa na sura ngumu ndo sifa nzuri kama Mimi hapa ukikutana nami utashindwa kujua nikojekoje
 
Back
Top Bottom