Wasanii wengi walioimba /wanaoimba mambo ya anasa/bata wanaishia kufa ghafla ghafla tu

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Kila mtu ameumbiwa kifo..lakini sometime nahisi hawa wasanii mambo wanaimbaga yanafanyika/wanayafanya kweli ndio maana mwisho wao hua mbaya..yaani wanaugua kidogo tu chalii...au wengine unaamka asubuh unasikia tu mara ajali,mara wamechomana visu yaani dah.nina mifano michache

1:Langa=bomboclat,matawi ya juu,pipi ya kijiti

2:ngwear=mikasi,geto langu,cnn,zawadi

3.cpwaa=six in the morning,mmh mmh,action,pwaa

4=sharo milionea_ile style yake ya kuigiza maisha kistarehe,pamba kali nini..

5....John walker-bitoz na ile stail yale muda wote yuko tungi..

6. Jebi=wanapagawa,tunadatisha
7. Yp_pumzika pale inapobidi
8.kanumba_kuna movie zake nyingi majina nimesahau kapromote anasa pombe na mademu kwa sana
 
Profesa Shayo.
Alfonsi Mawazo.
Christopher Mtikila.
Reginald Mengi na wengine kibao tu waliofariki ghafla, hawa wote walisifia bata!?
Acheni kamba!!
 
Kuimba ni ibada sababu unachoimba kinakwenda kwenye akili za watu na kuwabadili matendo yao, mitazamo yao, akili zao, fikra zao, na kadhalika.

Unapoimba ngono na kusema iteleze hadi mtaroni sijui nikufumue tope maana yake una intend kuwaambia wanajamii wafanye hivyo katika maisha yao.

Mimi ndio maana nyimbo za miaka hii huwa nachagua sana za kusikiliza na video za kutazama. Unaweza hata ukasikia kwenye redio msanii anatunga mshairi mazuri ila ukija maisha yake uhalisia unakuta ni shoga au anaungana na mashoga.

Me ndio maana ngoma zangu kwenye playlist ni ngoma za miaka ya mwanzoni mwa 2000,na kurudi nyuma.
 
kawaulize wenyewe

Mi naongelea wasanii unaleta mamb ya sìasa
 
ni kweli mkuu
 
Pia kila wimbo(maneno) una roho nyuma yake!

Mi sisikilizi kabisa nyimbo tofauti na gospel

Tena hata gospel yenyewe sio zote,ni baadhi tu,manake nyingine nazo ni Chenga tu!
 
Kuna Wimbo wa Wiz Khalifa na Snoop, kwenye ule wimbo wanaiimbia mihadarati kwa sifa ya kipekee mno.

Nakumbuka maneno haya ...
" So as we get high, so as we smoke w***d
we just havin' fun we don 't care who sees..

"
halafu hapo kanakuja ka beat katamu ka
ti tii tii trii
 
Back
Top Bottom