Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,207
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaKwahyo Domo nae tumsubirie?
Yaan walimu wetu mashulen wanapata kazi kweli kweliAnjela Chibalonza.
Vivian Tillya.
Whitney Houston.
Sedekia.
Lucky Dube.
Hawa nao walifariki ghafla.
Una nyimbo zao wanazosifia pombe, bangi, na ngono!?
Tuko pamoja,yaani mtu na ndevu zake kabisa anasikiliza sukari........ daah juzi niliona mtu anachukua tuzo ya wimbo bora Bia tamu......nilishangaa sana aiseeeKuimba ni ibada sababu unachoimba kinakwenda kwenye akili za watu na kuwabadili matendo yao, mitazamo yao, akili zao, fikra zao, na kadhalika.
Unapoimba ngono na kusema iteleze hadi mtaroni sijui nikufumue tope maana yake una intend kuwaambia wanajamii wafanye hivyo katika maisha yao.
Mimi ndio maana nyimbo za miaka hii huwa nachagua sana za kusikiliza na video za kutazama. Unaweza hata ukasikia kwenye redio msanii anatunga mshairi mazuri ila ukija maisha yake uhalisia unakuta ni shoga au anaungana na mashoga.
Me ndio maana ngoma zangu kwenye playlist ni ngoma za miaka ya mwanzoni mwa 2000,na kurudi nyuma.
Ajabu!!!!Kwani kuna watu wanatoa taarifa siku wanayokufa?
wapi nimesema muamini??Mkuu mawazo yako usiwaaminishe na wengine.
Kwahiyo unapendelea wagonjwa tunaowauguza mpaka wanatutia ufukara halafu ndio wanakufa?Kila mtu ameumbiwa kifo..lakini sometime nahisi hawa wasanii mambo wanaimbaga yanafanyika/wanayafanya kweli ndio maana mwisho wao hua mbaya..yaani wanaugua kidogo tu chalii...au wengine unaamka asubuh unasikia tu mara ajali,mara wamechomana visu yaani dah.nina mifano michache
1:Langa=bomboclat,matawi ya juu,pipi ya kijiti
2:ngwear=mikasi,geto langu,cnn,zawadi
3.cpwaa=six in the morning,mmh mmh,action,pwaa
4=sharo milionea_ile style yake ya kuigiza maisha kistarehe,pamba kali nini..
5....John walker-bitoz na ile stail yale muda wote yuko tungi..
6. Jebi=wanapagawa,tunadatisha
7. Yp_pumzika pale inapobidi
8.kanumba_kuna movie zake nyingi majina nimesahau kapromote anasa pombe na mademu kwa sana
Basi Snoop dogii tungekuwa tumemzika zaman sana pamoja na bwana mdogo TygaKuna Wimbo wa Wiz Khalifa na Snoop, kwenye ule wimbo wanaiimbia mihadarati kwa sifa ya kipekee mno.
Nakumbuka maneno haya ...
" So as we get high, so as we smoke w***d
we just havin' fun we don 't care who sees..
"
halafu hapo kanakuja ka beat katamu ka
ti tii tii trii