Wasanii wengi walioimba /wanaoimba mambo ya anasa/bata wanaishia kufa ghafla ghafla tu

Anjela Chibalonza.
Vivian Tillya.
Whitney Houston.
Sedekia.
Lucky Dube.

Hawa nao walifariki ghafla.
Una nyimbo zao wanazosifia pombe, bangi, na ngono!?
Yaan walimu wetu mashulen wanapata kazi kweli kweli
 
Tuko pamoja,yaani mtu na ndevu zake kabisa anasikiliza sukari........ daah juzi niliona mtu anachukua tuzo ya wimbo bora Bia tamu......nilishangaa sana aiseee
 
Kwani kuna watu wanatoa taarifa siku wanayokufa?
 
Kwahiyo unapendelea wagonjwa tunaowauguza mpaka wanatutia ufukara halafu ndio wanakufa?
 
Basi Snoop dogii tungekuwa tumemzika zaman sana pamoja na bwana mdogo Tyga
Basi Snoop dogii tungekuwa tumemzika zaman sana pamoja na bwana mdogo Tyga
 
Mwisho wa siku wote tutakufa kwa hiyo sioni pointi kwenye huu uzi
 
Bora kufa ghafla kuliko kusumbua watu na ugonjwa kwa muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…